Kumbe "Magwanda" ni chama tawala cha Uganda

Kumbe "Magwanda" ni chama tawala cha Uganda

Kieleweke

Member
Joined
Jun 23, 2009
Posts
79
Reaction score
8
Jamani, si maneno yangu, bali oneni wenyewe picha hii ya Waziri Mkuu wa Uganda akiwa na mawaziri wake
museveni.jpg
 
naona umekurupuka mbio ku post kama vile umeachwa na basi stendi ya ubungo
 
Umekurupuka. Chama tawala cha Uganda ni jeshi lililojigeuza kuwa chama cha siasa. Inashangaza nini?
 
Post za MAGAMBA bwana zinachekesha! Mwishowe watasema wanajeshi wote wa Tanzania ni CDM

Nani kataja neno wanajeshi.

Wanaojua kusoma wamesoma habari nzima na chini ya ile picha imeandikwa hivi:
{Waziri Mkuu wa Uganda, Amma Mbabazi, akizungumza na wabunge wa NRM katika mkutano wao huko Kyankwanzi....}
 
Point yako ni nini? kama umezuka tu kutoka usingizini
 
Nani kataja neno wanajeshi.

Wanaojua kusoma wamesoma habari nzima na chini ya ile picha imeandikwa hivi:
{Waziri Mkuu wa Uganda, Amma Mbabazi, akizungumza na wabunge wa NRM katika mkutano wao huko Kyankwanzi....}

Wewe si umeona magwanda aliyovaa Waziri Mkuu Uganda uka-conclude kwamba Magwanda ni chama tawala Uganda au nakosea?

Back
Top Bottom