Kumbe kweli

Kumbe kweli

usikae mbali updates muda wowote hapa..

Sorry kwa kuchelewa kuwajuza coz as a friend niliitwa ndani na lililopo ni kwamba ngosha kaamua kwamba hii ni family matter na itabesolved na pande zote husika coz jamaa ambae alikua bestman wake ndo kamsaliti na they are family friends ameamua kwanza ajipe muda wa kutafakari kabla ya kutoa maamuzi,tumemuunga mkono,ila wife wake bado kapiga magoti kwenye kitanda chake anaomba asamehewe ni shetani kampitia,mh!!yangu majicho tu.
 
binafsi huwa siaminigi shetani kuwepo. mtu aniombe msamaha yeye kama yeye lakini kuwa shetani alikupitia mkienda wapi? pili ishu hii ni ngumu sana hasa kwa bestman maana mkewe atajua na hili soo jingine tena.
 
Yeah,mke wa jamaa keshajua coz yupo hapa analia tu,tunajaribu kumtuliza,hofu yetu ni kwamba jamaa asijekujinyonga coz ni wale watu wa mkwawa.
 
Mgonjwa karuhusiwa tunamsindikiza nyumbani kama kutakua na any news nitawajuza,ngosha hana raha kabisa namdrive tuko kimya2,wife yeye ni kulia tu jamaa kapiga kimya.
 
Duuh ishu ishakuwa complex. mke wa bestman anaona kama movie vile. jamaa kafanya vizuri kutotoa maamuzi kwa sasa maana ndoa zote zitasambaratika ndani ya saa 24.
 
Mgonjwa karuhusiwa tunamsindikiza nyumbani kama kutakua na any news nitawajuza,ngosha hana raha kabisa namdrive tuko kimya2,wife yeye ni kulia tu jamaa kapiga kimya.

mke anajua huko home leo hakukaliki na kuwa amesababisha matatizo makubwa kwenye ndoa yake na ya bestman.
 
Hawa tunaowaita wake wanadai hawataki free P.ndio maana wanageuka kuwa michepuko
 
Daa..hii kali.inabid ngosha afanye maamuz magumu..hamna shetan kanipitia wala kaniacha.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom