Kumbe kweli

Kumbe kweli

mwambieni ukweli na ajue cha kufanya mapema otherwise jamaa akiamuka tu huyu mke atapata shida sana

Kuna possibility kubwa kwamba huyo mwenye mke amepewa mkanda na mmoja wa rafiki zake na yeye akaamua kuhakikisha. Bahati mbaya imekuwa ni kweli na ndiyo maana akazimia kwani inawezekana hakuamini hapo awali.

Otherwise asingelazimisha kutumia simu ya mgomvi wake hata kama alipewa offer ya kutumia simu nyengine.
 
nina wasiwasi hata huyo mtoto sio wake. mtoto ana mwaka1 mke ameshachepuka? walianza siku nyingi hawa!

Hapo mh!hata mimi nina wasiwasi na kama mtoto ni wa ngosha,ngoja tusubiri nitawajulisha kila litakalojiri kwenye hili sakata.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom