Tarime one
JF-Expert Member
- Nov 12, 2013
- 2,246
- 1,740
Dah!huu msemo wa mkeo mchepuko wa mwenzio kumbe kuna ukweli wajameni,
Wacha niwape habari hii bado ikiwa ya moto,tulikua tunapata lunch na best zangu hapa tabata bima kumbe kuna best yetu mmoja anachukua mke wa jamaa ambae tuko nae kampani ingawa yeye mtu wa kusafiri sana,kimbembe kilianza pale ndugu mwenye mali alipomwomba jamaa simu aitumie kumpigia ndugu yake akidai yake imekata charge,infact sijui kama jamaa alikua akihisi kuibiwa au vp,coz jamaa mwenye cm kwanza alisita kumpa cm akisingizia credt nikataka kumpa yangu atumie akakataa na kuinsist jamaa ampe aweke crdt,ikabidi jamaa akubali shingo upande kumpa cm yake,jamaa kaweka crdt ya 5000 kwanza halafu akamtwangia mdogo wake wa mkoani kujuliana khali na baada ya kumaliza kuongea kaamua kumpigia wife,ile kufeed no likatokea jina la ma sweetheart jamaa kwenda hewani kweli kapokea mkewe,mh just imagine what happen,nitaendelea kuwajuza coz tuko hosp.