Kumbe kweli Sioi ametoboa sikio!

Wale wanaosema eti kenya na S.A kutoboa sikio ni jambo la kawaida, hebu angalieni nchi gani ambazo zimenymelewa na ushoga, S.A ndo kabisa nafikiri wamebariki, Kenya ndo hivyo tena mpaka wanaruhusu wapewe warsha, sasa mnaposema tuige nchi hizi mnamaanisha tukaribishe ushoga? Yawezekana mtu ametoboa si shoga, lakini kimaadili ya kitanzania, hii siyo kabisa.

Hili jambo liwe fundisho kwa vijana ambao wanaharibu miili yao kama real tattoos, kutoga masikio n.k vitu ambavyo havitafutika daima, ipo siku vinaweza kuja kuwacost.
 
Pamela ni kipenzi cha lowassa haswaa katika watoto wake.na ni mtoto anayejiamini waulize wanaofanyanae kazi pale Bot.Alafu anasali sana huyu dada huwezi kumkosa Azania front morning prayer daily na kwa mwakasege
Sioi atapata support kubwa kwa wife yake .ni hayo tu
 
What are you insinuating kwa kusema anaslai sana???? morning prayer wengi tu wanaenda kwa sababu wanawahi kufika town wakiogopa foleni so they hang in churches till office hours. take your your time to dig around utapata tu....mambo mengi hebu tafuta waliosoma na binti huyo na kwingineko wakupe tabia ya binti huyu.
 
Wale wanaosema eti kenya na S.A kutoboa sikio ni jambo la kawaida, hebu angalieni nchi gani ambazo zimenymelewa na ushoga, S.A ndo kabisa nafikiri wamebariki, Kenya ndo hivyo tena mpaka wanaruhusu wapewe warsha, sasa mnaposema tuige nchi hizi mnamaanisha tukaribishe ushoga? Yawezekana mtu ametoboa si shoga, lakini kimaadili ya kitanzania, hii siyo kabisa.

Hili jambo liwe fundisho kwa vijana ambao wanaharibu miili yao kama real tattoos, kutoga masikio n.k vitu ambavyo havitafutika daima, ipo siku vinaweza kuja kuwacost.

Ndg yangu Matola tupia jicho kwenye post hii tafadhali.
 
mnammkumbuka sisko, mkapa anavaa cheni na baadhi yao wanavaa shanga za kiuno na bado ni viongozi tunao wengi tuu. kutoboa sikio mm sioni ni tatizo kuna viongozi wa mila za kimasai wametoboa masikio na bado ni viongozi huyo aloleta mada nadhani na yy ni kihiyo pambaf
 
What are you insinuating kwa kusema anaslai sana???? morning prayer wengi tu wanaenda kwa sababu wanawahi kufika town wakiogopa foleni so they hang in churches till office hours. take your your time to dig around utapata tu....mambo mengi hebu tafuta waliosoma na binti huyo na kwingineko wakupe tabia ya binti huyu.
Mambo kasema kweli, huyo binti ana tabia nzuri sana
 
Pole Nang'olo Ntela, bado wewe hujui chochote, anafuata upepo na kuiga kelele, hao usiodhani ndio mafisadi mara elfu, je kwa yaliyompata Malima angekuwa katika kambi ya Lowassa ingekuaje?
Siogopi tundu lake alotoboa bali huyu ashawekwa kenye kundi la EL akipata lazima awe fisadi. Heri wabaki mafisadi walewale kuliko waongezeke. Hope wamaru hawaongeza mafisadi.
 
Ndg yangu Matola tupia jicho kwenye post hii tafadhali.
Shoga mwingine huyu hapa.

mr2_itikadi.jpg
 
Kenya Chief Justice Willy Mutunga
resize_image

Mbona mtoto wa Lowassa ambaye ni mke wa Sioi anaonekana akisema peoplesssssssssssssssssssssssssssss angalia vizuri picha hapa ccm hawana kura ya huyo dada labda kama naye hakujiandikisha kama mume wake.
 
Sasa hapo binti Lowassa ni yupi? Kha!
Mbona huyu binti wa Lowassa ambaye ni mke wa Sioi anaonekana akisema peoplessssssssssssssssssssssssssssssssssssss angalia vizuri picha, kura yake ni ya CDM labda kama hakujiandikisha kama mume wake.
 
mbona sioni binti hapa??
 
Sonko.jpg

Huyo nae mbunge wa Kenya Gideon Mbuvi aka Sonko aliamua kuingia na hereni bungeni akatimuliwa
 
Mbona mtoto wa Lowassa ambaye ni mke wa Sioi anaonekana akisema peoplesssssssssssssssssssssssssssss angalia vizuri picha hapa ccm hawana kura ya huyo dada labda kama naye hakujiandikisha kama mume wake.

Kwa hiyo hapa unatuthibitishia kwamba SIOI NI MKENYA SI NDIO?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom