Kumbe kweli Sioi ametoboa sikio!

Magwanda huwa wanafurahisha sana, wanapokosa sababu, inafikia mpaka wanaleta sababu za siasa uchwara mpaka wanaanza kulumbana wenyewe kwa wenyewe.
 
Usidhani humu watu wote ni vipofu kama wewe, watu huru chupa huwa wanaita chupa na pie we call a pie, nadhani ni fursa nzuri kwako hapa ujifunze namna ya kuchambuwa mambo badala ya kuwa Domo bwabwaja, binafsi siwezi kuipigia kura CCM over my dead body, lakini bado siwezi kukubali mgombea wa CCM achafuliwe kwa vitu ambavyo ni too personal.

Kwa mtu ambaye amebahatika kutembea kidogo atakubaliana nami kuna jamii ambazo ili ujichanganye nazo ni lazima uishi kama wao na hapo ndipo unapokuja msemo wa ukienda Roma basi ni lazima uvae kama Waroma, na kwa mtu aliyewahi kufika South Africa ndio atakubaliana na ukweli huu kwamba kule mtoto wa kiume anatobolewa sikio na kuanza kuvalishwa heleni na mama yake mzazi na hii ni moja ya alama muhimu ya vijana wa Kisouth Africa, guess kama unataka na wewe ujichanganye na jamii hiyo hivi utaepuka vipi na wewe kutoboa sikio moja au yote mawili?......
 
Mimi siipendi CCM hata kuisikia lakini vile vile si muumini wa siasa uchwara, sioni tatizo kwa mgombea wa CCM kutoboa sikio.
Huyu hapa ndiyo mwanasheria mkuu wa Kenya na mambo mswano tu.
resize_image

Mkuu kosa la mtu wa pili halifuti lile la mtu wa kwanza, kwa kuwa kenya wamefanya kosa basi nawe ulifanye?
Look here, kutoboa sikio kwa ajili ya heleni,kusuka nywele, kusokota rasta and the like kwa mwanaume ni kinyume cha maadili ya kitanzania na ktk uislam (sijuwi dini zingine) hayo ni mambo wapasayo kufanya wanawake ndiyo maana jamaa akalileta hapa, huyu anakaribia kuwa kiongozi ambaye pamoja na majukumu mengine ni kukemea ukiukaji huo wa maadili, hakupaswa yeye kutangulia kufanya alivyofanya, hiyo ndiyo point hapa.Sina mpango wa kumfanya asishinde, kwa kuwa tunao viongozi wengi wa aina hiyo ambao wamewekwa na nyie mlio kama wao na ndiyo waliotufikisha hapa tulipo.Ila muikamate hiyo point.
Napata shida kujuwa umri wenu nyie mnaosapoti suala hili.
 
Pitia kwa makini post yangu # 42, sina muda wa kupoteza hapa kwenye hizi hoja nyepesi, nawahi kule kwenye press conference ya muuwaji Benjamini Mkapa.
 
Nilikuwa sijafahamu kumbe uko kisiasa zaidi(af ni MAGAMBA), nilikuwa najaribu kukuelimisha tu, nakubaliana na wewe kuwa Mkapa ni muuwaji, kwa mauaji ya halaiki zanzibar NA MENGINE MENGI, agree mate, go ahead.
 
Eleni ni kama kikuku kwa mawana mama mguuni,sio uhuni ila watanganyika bado tunamapokeo ya ujima.na ndio tatizo,mfano south afrika kutoboa sikio ni jambo la kawaida na akuna ajabu.naona wakati umefika we need to change na mitazamo ambayo inakizana na usemi kuwa sio kila mzungu ni padre.
 
Pitia kwa makini post yangu # 42, sina muda wa kupoteza hapa kwenye hizi hoja nyepesi, nawahi kule kwenye press conference ya muuwaji Benjamini Mkapa.

Thread yako #42 ni more than pointless, u better delete it lad, utakubali vp uige utaratibu wa ovyo ambao unajuwa kabisa siku ukirudi kwenu utaonekana ni hopeless kisa tu eti unataka ufanane nao? siyo akili ni matope hayo! kwa hiyo wewe ukienda kuishi marekani kwe jimbo ambalo kuna mashost wengi nawe utajiunga nao na ukirudi bongo watu wukuone ni wa kawida tu kwa wewe kuwa Maharagwe/punga?
 
Eleni ni kama kikuku kwa mawana mama mguuni,sio uhuni ila watanganyika bado tunamapokeo ya ujima.na ndio tatizo,mfano south afrika kutoboa sikio ni jambo la kawaida na akuna ajabu.naona wakati umefika we need to change na mitazamo ambayo inakizana na usemi kuwa sio kila mzungu ni padre.
Mkuu, heleni ni kwa wanawake tu. Utaratibu wa wanaume kuwa na heleni moja ulianza marekani kwa ajili ya kuwatambua mashoga hapo awali, So, usilazimishe jamii i change ktk mambo ya kijinga, tuige mambo ya msingi kutoka huko south unakosema siyo heleni.
 
Thread yako #42 ni more than pointless, u better delete it lad, utakubali vp uige utaratibu wa ovyo ambao unajuwa kabisa siku ukirudi kwenu utaonekana ni hopeless kisa tu eti unataka ufanane nao? siyo akili ni matope hayo! kwa hiyo wewe ukienda kuishi marekani kwe jimbo ambalo kuna mashost wengi nawe utajiunga nao na ukirudi bongo watu wukuone ni wa kawida tu kwa wewe kuwa Maharagwe/punga?
Kwanza kabisa hakuna thread # 42 bali ni post # 42, nadhani ifikie wakati tukubali kutokukubaliana, kama wewe ni mtu wa maadili ya Kitanzania kweli ni kwa nini usivae ngozi za wanyama na magome ya miti?
Hivi sisi tuna utamaduni wa kuvaa suti? kwa nini unatumia nguvu nyingi kulazimisha watu waamini kile ambacho unataka wewe?

Kuwa shoga sio swala la hereni ni swala la kihomoni zaidi na hili siwezi kuliongelea kwa sababu wapo wataalam wenye uwezo wa kuliongelea hili kisayansi, shoga anaweza akawa ni mvaa suti kila siku na bado akawa analiwa na wanaume wenzake, cha msingi hapa unachokikubali wewe si lazima na mimi nikikubali.
Mwisho ningekuonya watch ur mounth kama unataka kufanya critically arguments, mimi nina umahili wa kukujeli kwa kila aina ya maneno, kwahiyo pls do not underestimate me, usije kusema i didn't warn u!
 
Yaani ni sawa na mwanaume kuvaa skert halafu tumsifie, acheni hizo si kawaida ya watanzania hiyo, mtu avae skert tuite msuli? ccm mmechemka mnamuweka mvuta bangi!

sioi siyo sawa na lema lakin.
 
Kwanza kabisa hakuna thread # 42 bali ni post # 42, nadhani ifikie wakati tukubali kutokukubaliana, kama wewe ni mtu wa maadili ya Kitanzania kweli ni kwa nini usivae ngozi za wanyama na magome ya miti?
Hivi sisi tuna utamaduni wa kuvaa suti? kwa nini unatumia nguvu nyingi kulazimisha watu waamini kile ambacho unataka wewe?

Kuwa shoga sio swala la hereni ni swala la kihomoni zaidi na hili siwezi kuliongelea kwa sababu wapo wataalam wenye uwezo wa kuliongelea hili kisayansi, shoga anaweza akawa ni mvaa suti kila siku na bado akawa analiwa na wanaume wenzake, cha msingi hapa unachokikubali wewe si lazima na mimi nikikubali.
Mwisho ningekuonya watch ur mounth kama unataka kufanya critically arguments, mimi nina umahili wa kukujeli kwa kila aina ya maneno, kwahiyo pls do not underestimate me, usije kusema i didn't warn u!

Suala liko palepale post yako #42 (siyo thread #42 nakiri nilikosea) haifai kwa mtu yeyote mwenye utimamu wa akili, hutakiwi kufanya vitu vya kijinga kwa kuwa eti umeona mtu kafanya au watu wengi wanafanya, mtu makini anatakiwa kutumia akili ktk kuamua jambo analotaka kulifanya kabla ya kulifanya. Sidhani kama kunitisha ni njia nzuri ya kunifanya niache kukemea kosa ulilolifanya, ningekuona muungwana zaidi iwapo ungekiri kuwa uliteleza.Kukubali kukosolewa ni sign ya maturity mkuu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom