Kumbe kweli Sioi ametoboa sikio!

Hivi SUGU hajatoboa sikio?Vp kuhusu cheni anazovaa?Mimi naona hilo si tatizo na halihusiani na uwezo wa mtu kuwa kiongozi!Hebu vyama vianze kushindana kwa hoja na si kupaka matope!!

Unamaanisha imeletwa na chama?mkuu hayo yakutoboa sikio tusiyachanganye na issue ya siasa meru.japo tunachagua kiongozi bora si bora kiongoz.na kiongoz bora lazima kwanza tuanze kuangalia maadili pamoja na uwezo wakuongoza.endapo tukiwa na viongoz wa ainahii wakawa 75 % serikalini cameroon anaingia kilaini kabisa.huu sio utamaduni wetu pamoja na ukweli kua anauhuru binafs kisheria
 
yaa tuschane nayo kwa sababu CCM ndio zao si unamkumbuka SISCO?
 
Siasa uchwara hizi tuachane nazo, sioni tatizo kwa binadamu yeyote kwa hiyari yake akiamuwa kutoboa sikio lake mwenyewe. hapa hakuna point.
Mkuu Matola point hapo ipo tena kubwa tuu, watu wanaotoga masikio ni wa aina gani katika jamii, je tunakubaliana na hiyo culture!!!!!!!!!!!!

Yaani ni sawa na mwanaume kuvaa skert halafu tumsifie, acheni hizo si kawaida ya watanzania hiyo, mtu avae skert tuite msuli? ccm mmechemka mnamuweka mvuta bangi!

Mwana wa mfalme

charles.jpg
 
Mie sioni tatizo, ila angevaa hereni hapo ni kitu kingine, kwa hapo alivyo you can hardly see anything.
 
Siogopi tundu lake alotoboa bali huyu ashawekwa kenye kundi la EL akipata lazima awe fisadi. Heri wabaki mafisadi walewale kuliko waongezeke. Hope wamaru hawaongeza mafisadi.
 
Hebu tuache mambo ya kitoto sasa.... tunataka kiongozi anayefaa, kama Siyoi anafaa basi sawa; tuna rais hajatoboa sikio lakini ni muongo, mzushi, asiyejali na assiye na tija yoyote kwa watanzania!!!

I believe kabisa, kati ya Siyoi na Nasari Arumeru wana chance ya kupata kijana mahiri kwenye siasa; na bahati nzuri sana wao si maadui hata siku moja.... wanafahamiana na kuheshimiana

Hayo ya maskio yanaweza kabisa kutokana na culture aliyopitia at one point in life sema huwa inaacha alama, ni kama walionyoa push-back, kuweka kalikiti, kuvaa baggy, kata-kunndu, meno bandia (dhahabu feki) nk

Lets dwell into qualities....
 
Siasa uchwara hizi tuachane nazo, sioni tatizo kwa binadamu yeyote kwa hiyari yake akiamuwa kutoboa sikio lake mwenyewe. hapa hakuna point.
Umenifurahisha sana hapo!!

Vipi kama binadamu huyohuyo kwa hiari yake akiamua kuliwa ndogo?
hehehee............
:crazy:
 
yaa tuschane nayo kwa sababu CCM ndio zao si unamkumbuka SISCO?
Kutoboa sikio kitu gani bana.........mbona nanihii yule mbunge wa kuewa yule anyeimbaimba nyimbo za ajabuajabu...

mbona yeye ametoboa kinanihii chake?!!
Au tuweke picha hapa!!:bump2:
 
Anampenda sana mke wake na anataka kufanana nae, tatizo liko wapi. Kwa taarifa nilizozipata anataka kuweka dawa kwenye nywele zake na na kuvaa sketi. Kazi kwenu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom