Kumbe kweli Sioi ametoboa sikio!

tatizo lipo wapi kama ametoboa sikio?
 
Siasa uchwara hizi tuachane nazo, sioni tatizo kwa binadamu yeyote kwa hiyari yake akiamuwa kutoboa sikio lake mwenyewe. hapa hakuna point.
 
Sasa kutoboa sikio ni kitu cha ajabu sana jamani? Na kutoboa sikio kuna uhusiano gani na uwezo wa mtu kuongoza?
Tuache siasa za maji taka.
Kama tunapingana na mtu tumpinge kwa nguvu ya hoja na sio kwa hoja ya nguvu.
 
Sasa kutoboa sikio ni kitu cha ajabu sana jamani? Na kutoboa sikio kuna uhusiano gani na uwezo wa mtu kuongoza?
Tuache siasa za maji taka.
Kama tunapingana na mtu tumpinge kwa nguvu ya hoja na sio kwa hoja ya nguvu.

Yaani ni sawa na mwanaume kuvaa skert halafu tumsifie, acheni hizo si kawaida ya watanzania hiyo, mtu avae skert tuite msuli? ccm mmechemka mnamuweka mvuta bangi!
 
Mimi siipendi CCM hata kuisikia lakini vile vile si muumini wa siasa uchwara, sioni tatizo kwa mgombea wa CCM kutoboa sikio.
Huyu hapa ndiyo mwanasheria mkuu wa Kenya na mambo mswano tu.
 
Hivi SUGU hajatoboa sikio?Vp kuhusu cheni anazovaa?Mimi naona hilo si tatizo na halihusiani na uwezo wa mtu kuwa kiongozi!Hebu vyama vianze kushindana kwa hoja na si kupaka matope!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…