Unawazungumziaje na wale wanawake wanaoacha wanaume kisa ni maskini, kisa ana uume mdogo, kisa ana uume mkubwa, kisa ni mfupi, kisa ni mnene, kisa ni mwembamba, kisa hafanyi kazi benki, kisa yuko dini tofaut na yeye, ..na umbembeleze mwanamke wa nini anayekuona mavi kunuka mbele yako
Kabisaa mkuuAhaaaaaaaa
Ni kweli inapaswa munakuwa wengi ili kazi inakuwa rahisi kama akizengua na hamia kwako au sio njoo basi pm
Eti ?Khee umenianzaje?
Mapenzi hayana baunsa kila mtu yanamgusa kwa wakati wake, unajikuta mtu mzima unachuruzika kamasi na machozi km umefiwa mbaya zaidi msababishi hashtuki, wala hajui km upo kwenye maumivu makali
Pole mkuu jikaze kiume walau sasa utaheshimu hisia za wanawake wengine kwako maana mwanzo hukuwa unajali chochote
Na uzuri au ubaya wote lazima tueksipiriensi maumivu either kwa kujitakia au kwa kusababishiwa...huo ndio uzuri wake,.[emoji4]
Huyu ni vyote kwa pamoja😀Eti Huyu amejitakia au kasababishiwa! ??
Huyu ni vyote kwa pamoja[emoji3]
Naam...ni mzembe sana huyu😂Hahah unajua unazidi kumuumiza mwenzio! ??
Unataka kusema ameachwa kizembe enhe!??
Some memories ni ngumu sana kupotea.....ngoja tu niishie hapa mkuu, kuna watu tunaishi na maumivu sana hii dunia.....#I miss you bad Rey
Eti ?
Hii yenyewe kabisa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji2938]Aweke ngoma ya Big Sean - I dont **** with you [emoji23][emoji23][emoji23] kwa replay.
Nzuri sana kwa kuondolea machungu.