Kumbe Kweli Mapenzi Yanaumiza

Mimi nakushauri kamroge tu,

Lakini kuna mchungaji mmoja kwenye kipindi cha mahusiano na ndoa alisema mwanamke kama akutaki achana nae hata kama ni mzuri vipi maana yupo wa kufanana na wewe, binafsi nilikua kama wewe nilikua napenda sana, but akili ilivyonijiaa nikawa nachukulia kila kitu sawa, nikimtext asipojibu sawa,nikawa hata simtafuti mpaka anitafute yeye,.mpaka akaanza kulalamika kwamba simpendi, boss hivi viumbe ukivipenda vitakufanya kitu amna
 
Mkuu umetisha sana ukweli mtupu mwanaume halisi analia mara moja ile ya kumaanisha kabisa baada ya hapo akiumizwa tena ni maumivu ya kawaida
 
Mtafute umchape pumbu kwanza alafu mengine mtaweka sawa,mapenzi yanaumiza yanapagawisha.
 
Mapenzi hayaumi.. Kulia lia kisa mapenzi uo ni umama
 
Ahaaaaaaaa
 
Sasa kwanini ukiumizwa na mmoja udhani kwamba wanawake wote ndo wako hivyo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…