Kumbe Kweli Mapenzi Yanaumiza

Brathaaa tafuta pesa haya mengine ni ushwain tu, yes kuna wanawake wengine ni shwain tu, tafuta pesa kimya kimya, zikiwa nyingi, piga kimya, then am sure kabisa kuna mwanamke ktk maisha yako na naamin sio mpenzi au kama ndie ulikua na haumuoneshi usirias wowote, huyo mwanamke amekua karibu yako kwa nyakat nyingi na zaidi hata nyakat za shida, ila ulikua unapotezea, embu ukishazikamata pesa, embu mtafute huyo mwanamke umuoe, then muanze kuyafurahia mapenzi.
Nimemaliza
 
Unawazungumziaje na wale wanawake wanaoacha wanaume kisa ni maskini, kisa ana uume mdogo, kisa ana uume mkubwa, kisa ni mfupi, kisa ni mnene, kisa ni mwembamba, kisa hafanyi kazi benki, kisa yuko dini tofaut na yeye, ..na umbembeleze mwanamke wa nini anayekuona mavi kunuka mbele yako
 
ohooo mkuu ubaya wa mapenzi ni tunaamini ya kwamba our life is half life na half nyingine anayo mtu sasa ikija wakati mtu anakuacha ndio maumivu yanazidi ila tungelijua maisha yetu ni full life ingekuwa poa sana
 
Hivi ni kweli wewe umetumwa kufanya moyo uwe na matoobo.
Nami nilipokukabidhi moyo wangu kumbe wewe kasoroobo.
Ona umeniacha hoii, namimi kwako niko hoi mamaa! - Meja kunta.( Haloo )
 
Dah.Noma.Miaka yangu yoote kwenye dunia hii mpaka nimeoa na mm nimekua na mtazamo huo kama uliokua nao..inakuaje mktu ulie lie hivyo kisa mapenzi??
Bwana wee..Muda huu niko kwe ye mgogoro mkubwa sana na moyo wangu maana kuna mahal unataka kunipeleka na naona kama ushafika kabisaa ila kinachonisaidia hapa ni nafsi tu bado iko ngangari na akil ziko mahali pake .Huu mgogoro wa binafsi wa ndani kwa ndani umeanza kama week 2 zimepita nikiw kanda ya ziwa.
I hope sitafika hatua uliofika ww.ila kupenda ni kitu cha kipumbavu sana.
Maana mwenyew najiukiza hiw come nimeanza kumpenda mtu ghafla namna hii wakat nina mke na watoto wananijal na kuniheshim ..how come???? Ni kujiendekeza au ndio ndumba hiz za mapenz zinataka kunitoa kwenye line??
niko makin ku observe haka kamgogoro kangu kati ya MOYO vs Nafsi&akili niona nan atashinda....
 
Unatufelisha mabaharia.wacha kulia lia.
 
Mkuu usirudie tena huo udhaifu. Mwanamke hata ikipita tu mwezi mmoja bila mawasiliano kwa vyovyote vile ujue kuna baharia ameishajiongeza unless ni mke wako halali wa ndoa.
Pamoja mkuu..
 
Umetisha mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…