Kumbe Kweli Mapenzi Yanaumiza

Last paragraph though [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]. Ushauri mzuri in general.
 
Umesema vizuri sana...i can relate.
 
Pole sana, jipe moyo. Wapo wengi wanaostruggle kwahyo usife moyo..
Bora umejua ukwel kua hakuwa wako kuliko kuendelea kupoteza muda.
 
Mapenzi hayana baunsa kila mtu yanamgusa kwa wakati wake, unajikuta mtu mzima unachuruzika kamasi na machozi km umefiwa mbaya zaidi msababishi hashtuki, wala hajui km upo kwenye maumivu makali

Pole mkuu jikaze kiume walau sasa utaheshimu hisia za wanawake wengine kwako maana mwanzo hukuwa unajali chochote
 
Si afadhali umejibiwa kuna wengine unamcheki WhatsApp anasoma sms wala hajibu na wakati ashakula advance pumbavu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…