Kwa kuichonga tu, wewe ni kiboko! Utadhani kweli vile!!!
Hivi chuo cha wasanii kiko wapi vile?
Mbona obama huwa anapasha kikapu-? kawaida tu kama bush na golf.
akijiunga na BSS atashinda tu,wakipenda wasipende si mnaelewa ni kinara wa UCHAKACHUAJI?haya jamani mi ngoja niweke intro ya vesi yake ya kwanza. .yo yon aha..this z for ma nigawhite rostam aziz and my brother from ananother mother, lowasa, aha! Yo yoo! Then alikiba anapanda na kolas yake, kama mtu yupo tayari atuwekee kolasi hiyo hapa.