Kumbe kweli jk ni msanii

Burudani tu hiyo wala haina matata! Ni sawa na wewe kupumzika mahali na kupata moja moto, moja baridi.
 
duuuh!kama ni kweli basi anafaa zaidi kua mwanamziki kuliko kua raisi.guitar limempendeza kuliko madudu anayofanya akiwa rais
 
Mbona obama huwa anapasha kikapu-? kawaida tu kama bush na golf.

kasumba hiyo!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!! wakulu wanaongelea rais wa JMT, jitu kubwa akili ya mbayuwayu linaibuka na oh! Obama oh! Bush komaa ww nyama.....f
 
duh, kapendeza kweli, kama vipi akatoe single yake kwa p funk majani au mako chali na kolas amshirikise ally kiba, itatoka mchicha sana.
 
Da wee umefuta usingzi wangu nshaanza lala. Mkuu ebu tujaribu kumtungia mistari michache akafanye single. Kwel fotoshop noma!
 
akijiunga na BSS atashinda tu,wakipenda wasipende si mnaelewa ni kinara wa UCHAKACHUAJI?haya jamani mi ngoja niweke intro ya vesi yake ya kwanza. .yo yon aha..this z for ma nigawhite rostam aziz and my brother from ananother mother, lowasa, aha! Yo yoo! Then alikiba anapanda na kolas yake, kama mtu yupo tayari atuwekee kolasi hiyo hapa.
 
kaka hujapinda umekatika kabsaaa......tehetteeeeeehehhhee
 
Back
Top Bottom