Anatoa harufu mbaya mkuu...na inaaminika ndiye mtu mwenye kutoa harufu mbaya duniani
mkewe ana uvumilivu
hata nikiweka kwenye shida na raha naona hii ni zaidi
Bw. Singh alipohojiwa alisema hivi...
"My wife doesn't like it either but she must bear all the hardships I have to bear. Besides, I take a fire bath in the evenings and that gets rid of all the sweat."
Na mkewe alisema hivi...
"I abused him and started crying when he told me about his senseless decision," she said. "I even threatened to stop sleeping with him but he is my husband so there was little I could do about it."