Kumbe kupima ukimwi si mchezo !!

Kumbe kupima ukimwi si mchezo !!

KakaNanii

JF-Expert Member
Joined
Sep 28, 2008
Posts
325
Reaction score
52
nani kakwambia kupima ukimwi ni mchezo ???
Waulize mabondia wa kick boxing wa tz walivyotimua mbio baada ya kuambiwa wanatakiwa kupimwa ukimwi !!!

BONDIA.jpg
 
nani kakwambia kupima ukimwi ni mchezo ???
Waulize mabondia wa kick boxing wa tz walivyotimua mbio baada ya kuambiwa wanatakiwa kupimwa ukimwi !!!

View attachment 14600
haaahahahaaaa... mkuu you have made my day!!! kupima ukikwi si mchezo

kama hujajiandaa lazima ukimbie
 
Kwa hakika sio mchezo. Ndio maana upimaji hutakiwa kutanguliwa na ushauri nasaha wa uhakika.
 
Hakuna lolooooteeh!!! Mie mbona nshapima kama mara nne hivi. Na hata sasa bado naendelea kupima kila baada ya miezi mitatu pale nnapokwenda kujitolea damu BLOOD BANK YA MUHIMBILI HOSPITAL.

Kupimwa ukimwi wala hakuumizi hivyo hakuna cha kuogopa, nakushauri nawe mwana-JF uende ukapime pia ukajitolee damu pale Blood Bank Muhimbili au katika hospital yoyote iliyo karibu nawe. Kama huna pesa/mali ya kutoa sadaka kanisani au msikitini, nadhani kujitolea damu itakuwa ni SADAKA TOSHA.

UOGA WAKO NDIO KUFERI KWAKO, :A S 103:
 
hiyo ni wewe na ulipata maandalizi mazuri, kwa wengi siyo hivyo... we cant compare apples and oranges
 
Kupima sio mchezo weweeee,

Wale wanaokaa mjengoni walipoambiwa wapime kwa hiari ili kumuunga mkono JK mbona walibadilisha mada,wakasema kupima ukimwi ni hiari ya mtu,badala yake wakaomba wapimwe sukari na BP haaaaaaa.

Walitakiwa wapime ukimwi kwa uwazi kabisa ili kiwe kielelezo kwa sisi walalahoi wanaotuongoza.:tonguez:
 
nakuaminia malila, umesema ukweli

a pysical wellbeing is more than just a blood test, there is a lot of psychological preparedness
 
kujiamini tu

mie napima kila baada ya miezi sita kazini.........na naona sawa na kwenda kununua nyanya tu dukani!

na ningelikuwa na uwezo ningeshauri vyuo vikuu vyote nchini kuwafanyia medical checkup wanafunzi wao kila baada ya miezi sita....:teeth:
 
Yaelekea wewe ni kicheche sana tena usietumia kinga kwanini upime mara kwa mara?
 
Yaelekea wewe ni kicheche sana tena usietumia kinga kwanini upime mara kwa mara?

nitake radhi kaka ....

nimeainisha kuwa kazini kwangu ni lazima kwa wafanya kazi wote kupima afya (full medical checkup) kila baada ya miezi sita.

moyo, mapafu, figo, ini, macho, masikio, body weight, ..........pamoja na damu ambayo mbali na kupima magonjwa mengine wanapima ukimwi.

nadhani nimeeleweka
 
hiyo ni wewe na ulipata maandalizi mazuri, kwa wengi siyo hivyo... we cant compare apples and oranges

Hapo kwenye red nakubaliana nawe kabisa.Mimi nilishuhudia kwa macho yangu pale nilipomsindikiza jamaa yangu toka Mpanda mpaka Nkinga kwa ajili ya matibabu na jamaa alikuwa mgonjwa kweli.Baada ya vipimo jamaa akaonekana ana magonjwa mengi tu hivyo madaktari wakashauri apime kipimo kikubwa(HIV),jamaa kweli akakubali na akachukuliwa damu,kesho yake asubuhi naamka namuangalia chumbani kwake hayupo,tafuta kila sehemu hayupo, ilipofika mchana napokea simu jamaa ananiambia yuko Tabora na anasubiri trein ya kwenda Mpanda.Nilichokifanya nami ilikuwa kuchukua basi la kesho yake kurudi Tabora ila nina hakika kama jamaa angeandaliwa vizuri wala asingekimbia majibu yake na angeweza kusaidiwa maana tulipofika Mpanda hakumaliza miezi sita akatangulia mbele za haki.
 
nani kakwambia kupima ukimwi ni mchezo ???
Waulize mabondia wa kick boxing wa tz walivyotimua mbio baada ya kuambiwa wanatakiwa kupimwa ukimwi !!!

View attachment 14600
Mkuu sijuwi huko Bongo huku majuu huwezi kuowa mke mpaka upime Ukimwi na ukipima ukimwi ukikutwa nao wanakurudisha nyumbani bomba linakuhusu sasa utakataa kupima ukimwi? au utaenda mwenyewe kupima Ukimwi? Na ukipatikana na kesi yoyote

ukipelekwa Mahakamni Hakimu akikuhukumu kwenda jela huwezi kupelekwa jela huku mpaka ukapimwe Ukimwi. Na ukipatikana na ukimwi itabidi ufungwe jela ya peke yako.

Sasa huku Majuu kupima Ukwimi huwezi kukwepa hata kidogo ukiwa na Ukimwi pole sana huna samahani mimi mwenyewe nimekwenda juzi kupima Ukwimi nipo powa Negative kwa hiyo hakuna kuogopa Ushauri wangu ni kuwa lazima kila Mtu akapime kujuwa hali ya Afya yako Asanteni.
 
:llama::A S 13::blah:😛reggers: MAANDALIZI NDIYO MUHIMU UKISHA PIMA MARA YA KWANZA UNAJIELEWA UKO NA STATUS IPI THEN NI RAHISI KU RE-CHECK SIYO SAWA NA ANAYEANZA :decision:
 
siku hizi mens wanajipima kwa kuwa mimba wake zao! teh teh!
 
si jambo rahisi kwa wengi ndo maana kuna kitengo cha ushauri nasaha ili kuwaandaa watu kisaikolojia.
 
(((Don't tell GOD how big your STORM is….tell the STORM how big your GOD is!!!))))

am in love with your signatory mama!!! cheusimangala:A S-heart-2::A S 8:

me too,inanikuza kiimani.ukiitafakari vyema utaona ujumbe ni mzito.
 
Back
Top Bottom