Mr Attorney
JF-Expert Member
- Mar 30, 2020
- 25,472
- 34,511
Ipi tafsiri ya mtu kukuchezea ?Hayupo tayari naona hata ningemkubali anaonekana angenichezea tu
Mazingira gani yakiwepo yana justify kuitwa kuchzewa ?
Ipi tafsiri ya mtu kukuchezea ?Hayupo tayari naona hata ningemkubali anaonekana angenichezea tu
Sio wotee, mbona mie napenda nionekane umri umeenda kabisa.Kati ya Utani ambao wabongo wengi hawataki, Ni kuonekana umri umeenda na amechelewa katika jambo flani
Huyo nae anapenda kununa Sana. Tabia za mwanaume papaiNimemuwish siku yake ya kuzaliwa nikamtania kama hivyo amekasirika hata sms hajibu tena.
View attachment 3467720
Yaani huwezi amini kanikaushia hadi leo hiiHuyo nae anapenda kununa Sana. Tabia za mwanaume papai
hizo ndio tabia za kike huyo bwana anapakuliwaYaani huwezi amini kanikaushia hadi leo hii