Kumbe kuna watu hawajui utani

Kumbe kuna watu hawajui utani

Umeingilia privacy na freedom ya maisha yake.
Kiafrika ni kawaida ila kizungu ni tofauti kidogo.
...kwa nini hujaoa na umri umeenda?
...mbona mpaka sasa hivi hujaolewa?
...kwa nini hujazaa si utazeekea kwenu?
Huku ni kuingilia uhuru wa mtu!!
 
Umeingilia privacy na freedom ya maisha yake.
Kiafrika ni kawaida ila kizungu ni tofauti kidogo.
...kwa nini hujaoa na umri umeenda?
...mbona mpaka sasa hivi hujaolewa?
...kwa nini hujazaa si utazeekea kwenu?
Huku ni kuingilia uhuru wa mtu!!
Kweli nilikosea ngoja nimtafute tena nimuombe msamaha
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom