Kumbe Kuna Mikoa Ina Vituo Vizuri Vya Mabasi Kuliko Dar?

Msamvu Morogoro
images(4).jpg
images(3).jpg
images(2).jpg
 
Nadhani;
1. Bagamoyo imekuwa ukanda wa viwanda ikiwa ni pamoja na Mansion kubwa na bora kujengwa msoga
2. Katavi, walipelekewa mpaka eLearning system
3. Ndege za serikali zilibeba mkaa
4. Chattel inang'ara
5. Ruangwa, uwanja wa kisasa wa mpira
6. Nyumba mpya za maaskari Zenji

Kama ulivyoelewa....
 
Namna hii itafanya watu kurudi kuishi mikoani kama enzi za Nyerere!
 
Nyie endeleen kubanana DSM na joto +usafiri Wa taabu..
Sisi wenzenu mikoani tunatusua tu..
Iko siku wale Wa mikoan waliokimbilia DSM kwa kisingizio cha kuishi mjini na kujiona wajanja wataona aibu kurudi kijijin baadae kwan wao bado wanaishi kwenye nyumba za kupanga wakat huku mikoan walioachwa choka mbaya sasa hivi wanamijengo yao.

Mikoani ujenzi nafuu kabisa
 
Nadhani;
1. Bagamoyo imekuwa ukanda wa viwanda ikiwa ni pamoja na Mansion kubwa na bora kujengwa msoga
2. Katavi, walipelekewa mpaka eLearning system
3. Ndege za serikali zilibeba mkaa
4. Chattel inang'ara
5. Ruangwa, uwanja wa kisasa wa mpira
6. Nyumba mpya za maaskari Zenji

Kama ulivyoelewa....
Charity begins at home!!
 
urudi kuishi mikoani kisa stendi mpya?????
vp jamaa unatumiaga bangi ama
Maana yangu maendeleo yakielekezwa mikoani,inafanya watu waweze kuhamia huko.Mfano miji ya South Africa,Ukianzia Polokwane,Pretoria,Jburg,Cape town,Rburg,PortElizabeth,Durban inazo facilities karibu zote za kumfanya mtu aishi popote South Africa,pasipo kuona amepungukiwa jambo.Kiufupi karibu miji yote ya SA imeendelea.Sasa na Tanzania tukisambaza maendeleo ,mtu anaweza ishi popote ,Tanzania
 
Kwani ubungo ni kituo au maegesho ya magari labda kituo cha wezi
Kimuonekano hata korogwe pazuri kuliko ubungo
 
Nyie endeleen kubanana DSM na joto +usafiri Wa taabu..
Sisi wenzenu mikoani tunatusua tu..
Iko siku wale Wa mikoan waliokimbilia DSM kwa kisingizio cha kuishi mjini na kujiona wajanja wataona aibu kurudi kijijin baadae kwan wao bado wanaishi kwenye nyumba za kupanga wakat huku mikoan walioachwa choka mbaya sasa hivi wanamijengo yao.

Mikoani ujenzi nafuu kabisa

Tuachieni Dar yetuu hatupoi.
 
Wamikoani wakiona Hiviiiiiiiii wanafarijika kwelii....
Dar ndio Bongo na Bongo ndio Tanzania.
 
Back
Top Bottom