Jackal
JF-Expert Member
- Apr 10, 2012
- 9,652
- 12,902
Kituo cha Mabasi ya Abiria -Mpanda, KataviView attachment 791081
Mkoa gani huu?Kituo cha Mabasi ya Abiria -Mpanda, KataviView attachment 791081
Kituo cha Mabasi ya Abiria -Mpanda, KataviView attachment 791081
Namna hii itafanya watu kurudi kuishi mikoani kama enzi za Nyerere!Nadhani;
1. Bagamoyo imekuwa ukanda wa viwanda ikiwa ni pamoja na Mansion kubwa na bora kujengwa msoga
2. Katavi, walipelekewa mpaka eLearning system
3. Ndege za serikali zilibeba mkaa
4. Chattel inang'ara
5. Ruangwa, uwanja wa kisasa wa mpira
6. Nyumba mpya za maaskari Zenji
Kama ulivyoelewa....
urudi kuishi mikoani kisa stendi mpya?????Namna hii itafanya watu kurudi kuishi mikoani kama enzi za Nyerere!
Charity begins at home!!Nadhani;
1. Bagamoyo imekuwa ukanda wa viwanda ikiwa ni pamoja na Mansion kubwa na bora kujengwa msoga
2. Katavi, walipelekewa mpaka eLearning system
3. Ndege za serikali zilibeba mkaa
4. Chattel inang'ara
5. Ruangwa, uwanja wa kisasa wa mpira
6. Nyumba mpya za maaskari Zenji
Kama ulivyoelewa....
Maana yangu maendeleo yakielekezwa mikoani,inafanya watu waweze kuhamia huko.Mfano miji ya South Africa,Ukianzia Polokwane,Pretoria,Jburg,Cape town,Rburg,PortElizabeth,Durban inazo facilities karibu zote za kumfanya mtu aishi popote South Africa,pasipo kuona amepungukiwa jambo.Kiufupi karibu miji yote ya SA imeendelea.Sasa na Tanzania tukisambaza maendeleo ,mtu anaweza ishi popote ,Tanzaniaurudi kuishi mikoani kisa stendi mpya?????
vp jamaa unatumiaga bangi ama
SafiKatavi
Nyie endeleen kubanana DSM na joto +usafiri Wa taabu..
Sisi wenzenu mikoani tunatusua tu..
Iko siku wale Wa mikoan waliokimbilia DSM kwa kisingizio cha kuishi mjini na kujiona wajanja wataona aibu kurudi kijijin baadae kwan wao bado wanaishi kwenye nyumba za kupanga wakat huku mikoan walioachwa choka mbaya sasa hivi wanamijengo yao.
Mikoani ujenzi nafuu kabisa
Itapendeza zaidi........haya wa mikoani rudin mkapige picha hapo stendi na muish hapo hapo
Ktk maisha yangu yote siwez kuishi DSM ,, huko ntakuwa naenda na kurudi..Tuachieni Dar yetuu hatupoi.
na mikoani ni nchi gani,ufafanuzi tafadhali..Wamikoani wakiona Hiviiiiiiiii wanafarijika kwelii....
Dar ndio Bongo na Bongo ndio Tanzania.