Hahaha hawataki marehemu atoroke kaburiNaamini tuko pamoja na tunaendelea kupambana.
Ukistaajabu ya musa utaona ya filauni.
Wiki hii jumatatu nilikuwa nasafiri kwenda eneo fulani, Siti niliyokaa nilikuwa nimekaa na kaka mmoja hivi age 23 hadi 30yrs
Kutokana na maongezi yake kwenye simu ilionesha wazi anakwenda msibani na muda huo alikuwa anaongea na MUUZA MAJENEZA KWA SIMU.
Kitu kilichonishangaza ni majeneza aliyokuwa anaulizia na muuzaji akimjibu kutokana na bei na hadhi ya jeneza.
Kitu kilichonishangaza ni KUULIZA JENEZA AMBALO NI SELFCONTAINER NA MUUZAJI KWELI AKAMWAMBIA BEI YAKE NAYE PIA AKAWAPA MREJESHO WAFIWA.
Baadhi ya majeneza yaliyoulizwa na kupewa bei ilikuwa
1. Jeneza la kawaida la kufungua.
2. Jeneza lenye switch
3. Jeneza ambalo ni Self
Na yote aliambiwa yapo na bei zake pia.
Pia hivi karibuni nilisikia RC CHALAMILA akiongea clip moja kuwa tupunguze mbwembwe kwa marehemu NA AKISEMA JENEZA MPAKA UNAWEZA PASSWORD
Nikabakia na maswali hili jeneza Self kumbe marehemu tunachimba dawa na kukata gogo humo humo.
ISHI UONE MENGI.
Wajuzi wa mambo haya karibuni.
Na hii unakuta ni kikundi kabisa na hiyo ndo kazi inayowaweka mjini.Sure sio utani kaka wapo watu wa kulia.
Bongo Da'slam🤣What😮!
yani kama ni pesa basi inatafutwa kwakweli,dah,,!Na hii unakuta ni kikundi kabisa na hiyo ndo kazi inayowaweka mjini.
Huwa kuna saa najisemea vya kushangaza haviwezi kuisha ndani ya hii dunia. Yaani unaeza ona hiki ukashangaa baadae unakutana na kingine kinakushangaza zaidi.
Namkubal sana kwa kitendo cha kuwa muwazi kuhusu mizigo licha ya statas yake ya UsheikhKama kuna siku itatokea nikaachana na Ugalatia ni kwa sababu kuu zifuatazo:
1. Zile raha ambazo Sheikh Kipozeo huwa anazifafanua kuwa zipo zinasubiri kule akhera.
2. Simplicity ya mambo likiwemo la mazishi. Unakata moto leo unazikwa leo hii hii bila mbwembwe wala nini...ni Sanda na mkeka tu kwisha. Safi sana hii!
3. Ishu ya ndoa...rahisiiiii!
Misiba ya Kigalatia siku hizi imegeuka ni sehemu ya show off na kama wewe ni masikini watu wala hawaji au utazikwa haraka haraka na kwa dharau. Watu wanalipa pesa mpaka kwa viongozi wa serikali ili waweze kuhudhuria ili eti kuupa uzito msiba. Utafikiri haya yanasaidia lo lote kwa marehemu. Kumbe hata ungezikwa na dunia nzima kama alivyozikwa Mandela au Papa Paulo wa Pili ni kazi bure!
Mizigo sheikh!Namkubal sana kwa kitendo cha kuwa muwazi kuhusu mizigo licha ya statas yake ya Usheikh
Ha ha ha hatar Sheikh
Mbona hii ndio desturi yetu wa Africa, Egypt makaburi yao ni nyumba kabisambeleni marehemu atakuwa anajengewa kaNyumba kake
Hii nimeipenda Mkuu[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji16][emoji16]tafuta pesa..uingie ukweni na viatu
"namsalimia shebby.... Ameuchubua.... Shebby... Anasuasua, au I'm not sure"Acha tabia yakua unasikiliza mazungumzo ya watu wengine wanapoongea kwenye simu,
Mind your own business.