tinna cute
JF-Expert Member
- Sep 22, 2013
- 4,630
- 2,317
the one with beautiful and nice legs? au the one with kiuno cha nyigu?
beatiful n' nice legs.
the one with beautiful and nice legs? au the one with kiuno cha nyigu?
some one to hug me pls!!!!!!!
I ill be there for u!
mie napenda mtu ninaempenda anikumbatieeeeeeee
Tena kubwa sana. Kwa mfano watoto wanaozaliwa premature na kutakiwa kuendelea kuwepo hospitali kwa muda mrefu ili kufuatiliwa kwa karibu madaktari na manesi hupendekeza Baba kwenda hospitali hata mara tatu kama inawezekana kwa siku avue shati na kumkumbatia mtoto huku mtoto akiwa na diaper tu. Wanasema ile kugusana ngozi kwa ngozi humsaidia sana mtoto kuliko hata incubator kupata ahueni haraka na hata kuepuka kifo na pia kuruhusiwa kwenda nyumbani mapema ukilinganisha na yule mtoto ambaye Baba yake hafanyi hivyo.
I really need a hug right now!!!!
![]()
Read for yourself
Kuna mchizi katoa theory amesema watoto wa kiarabu wangekuwa wanakumbatiwa zaidi na baba na mama zao wasingekuwa na nafasi kubwa ya kuwa magaidi.
Highly controversial but has some semblance of sense.
He he he ulikuwa ukimbania tu kumbe aiseee....mwanangu anapenda sana nimkumbatie wakati mwengine mpaka chooni nafatwa hugs kha :eyeroll1:....But i feel the love...:A S-heart-2:Aisee kumbe ndio maana kuna kibabu flani kilikua kinapenda sana kuhug wakati wa salam kanisani. Yaani kilikua kinategea saa ya kusalimiana ikifika kinakukimbilia na kuhug kwa muda mrefu hadi karaha. Ilibidi wakati huo ukikaribia lazima nitoke nje kwani nilikua nakwazwa mno.
best na ulivyo mtawa sijui kumbato utapata wapi.
kuumbe ndo maaana napenda hugs asee
i need ur hugs
cc: Kaizer Heaven on earth DEMBA kiwatengu na mkeo shansarie Mentor,babu Asprin sungura1980 na woote
DEMBA mtawa anapata kumbatio kutoka kwa wapendwa!Si unaona tuliotajwa hapo juu,wapendwa tu!best na ulivyo mtawa sijui kumbato utapata wapi.