We endelea tu kujengea kumani, utajakumbuka shuka kumekucha!Wakuu habari zenu nimetokea kuvutiwa na kimwana mmoja ni mzuri hatari, nimejikuta nikichomoa hela laki moja bila kusita , wakuu naomba kuuliza hivi niko sawa kweli katika kufikisha hisia zangu kwa huyu dada kuwa nampenda,na pia huwa naona raha sana kumuonga huyu mrembo.
Jizungumzie nafsi yako, usiseme wanaume wote !honga baba,..pesa unatafta mwenyew,..si kesi,..wanaume wote tunahonga,kila mwanaume ana degree yake ya kuhonga..kuna wanao honga pombe au vinywaj,hata soda ili kupata nafas flan,eitha ya kuanzisha maongez kama starter,..kuna wanaohonga ahadi mbalimbali ingawa wanajua hawatatekeleza,ni kumlubun tu mwanamke,kuna wanao honga zawad n.k,..kuna wanaohonga pip na bigi jii,chips yai,juisi,na kuna wanao honga elf50 had milioni,so inategemea na uwezo wako...jichunguze tuu lazma utaona kuna angle unahonga
We endelea tu kujengea kumani, utajakumbuka shuka kumekucha!Wakuu habari zenu nimetokea kuvutiwa na kimwana mmoja ni mzuri hatari, nimejikuta nikichomoa hela laki moja bila kusita , wakuu naomba kuuliza hivi niko sawa kweli katika kufikisha hisia zangu kwa huyu dada kuwa nampenda,na pia huwa naona raha sana kumuonga huyu mrembo.
Laki ni hela ndogo sana kwa hapa mjini, watu tunakuwa na mademu ijumaa jioni mpaka jmosi jioni kilo tano haipo na wala hatujatalii wala nini matumizi madogo madogo tu.
dondoo chumba tu hulipa elfu 80 kwa siku sasa nikitaja garama zote mpaka ktunamaliza weekend na kumpeleka shoping si utapeleka jina langu kwa dk slaa anitaje kwenye majukwaa kuwa mi fisadi.
Hivi mtu unaanzaje kuhonga?
Laki si pesa milioni deni...