BABU KIZEE
JF-Expert Member
- May 18, 2013
- 452
- 72
Wakuu habari zenu nimetokea kuvutiwa na kimwana mmoja ni mzuri hatari, nimejikuta nikichomoa hela laki moja bila kusita , wakuu naomba kuuliza hivi niko sawa kweli katika kufikisha hisia zangu kwa huyu dada kuwa nampenda,na pia huwa naona raha sana kumuonga huyu mrembo.

Hapo umempa vijisenti vya vocha tuu tena vya siku3 kama sio mtu wa mishemishe....Wakuu habari zenu nimetokea kuvutiwa na kimwana mmoja ni mzuri hatari, nimejikuta nikichomoa hela laki moja bila kusita , wakuu naomba kuuliza hivi niko sawa kweli katika kufikisha hisia zangu kwa huyu dada kuwa nampenda,na pia huwa naona raha sana kumuonga huyu mrembo.