Kumbe kufanya Diet ni gharama kuliko Menu za KFC

Jamani kama wewe ni mtumishi anaepokea hi mishahara yetu ya single digit, kama una uwezo wa kuzuia mwili kufumka fanya hivo mapema, kwasbb kuupunguza huko mbele ni gharama kweli kweli.

Huu ni mwezi wangu wa pili kwenye kufuata diet ya nutrients ili ni punguze mwili urudi kawaida yake I.e kabla ya kuuachia (70 to 85kg.) daily expenditure ku-mantain diet kwa ushauri wa mtaalamu ili ni sipate madhara mengine kama vidonda vya tumbo nk.

Kwa siku natumia kati ya 30k to 50k mtu moja.

Kuna boga boga zamani niliziona kwamba ni zawahindi na foreigners ila sasa zimekua menu ya kawaida kwangu fungu moja ni 7k natumia mafungu mawili kwa siku 14k green beans kilo 8k natumia nusu, 4k kuku ya wakienyeji au samaki kwa siku mbili mchemsho ila bila ngozi 25k, kipande cha gimbi 3k, parachichi 2k, apples kupozea njaa 3k. Bogaboga zingine na lemao 2k Average kwa siku natumia 30k to 50,000 kwa mwezi 900k hadi 1.5m.

Sasa niambie we mualimu mshahara wako ni 800k utaweza kweli kutoa hiyo obese au utasubilia pressure na kisukali vikusumbue wezeeni wako wote. Mda ndo sasa kuzuia mwili mkubwa.
Ukiweza kubalance Insulin na Glucagon kwenye lishe yako huhitaji diet tena. Vyakula vyenye refined sugar au carbohydrates vinaongeza level ya insulin na kushusha glucagon inayotumika kuunguza body fat.
 
Mlo wa Mtanzania unahitaji diet ipi tena?

Wacheni utani.
Mkuu ukiwa umenenepa kuna haja ya kupunguza milo ya kawaida na kuuanza diet ambao ni gharama watanzania hatufanani ki maisha kuna wengine hawaitaji diet tena maisha yao ni diet tosha
 
Kwa mlo wa Kitanzania wa sembe na supu ya maharage unahitaji diet ipi tena?

Wacheni uhuni.
 
Kama ulivyosema, wanga ndio tatizo. Mimi nafanya diet pia, Nina miezi kadhaa, sili wali, ugali, mkate chapati na maandazi na jamii hiyo.
Chakula kikubwa ni maboga, nikibadili na magimbi au ndizi tamu, hiyo ni kutokana na mapenzi yangu. Vitoweo vingine kama samaki au kuku, nakula kama kawaida japo si kwa wingi, mboga za majani na matunda kwa wingi, asali badala ya sukari katika chai, sinywi soda yoyote, maji kwa wingi, juisi kidogo. Sifanyi zoezi lolote wala kutumia supplements, nimeshapungua kilo si chini ya 15.
Ulipungua 15 kwa mda gani na kutoka kilo ngapi ....ila angalia matunda mengine yana sukali nyingi ukiakuepa utapungua kilo nyingi.
 
Ukiweza kubalance Insulin na Glucagon kwenye lishe yako huhitaji diet tena. Vyakula vyenye refined sugar au carbohydrates vinaongeza level ya insulin na kushusha glucagon inayotumika kuunguza body fat.
Wewe umeliweka kitaalamu zaidi insulin ni nini? Na glucagon nini zina patikana kwenye aina gani ya vyakula utabalance je hizo items kwa kutumia chakula chako cha kila siku.
 
Hebu tueleze GMO ni kitu gani wengine hatujui
Genetic Modified Organic,
Kiufupi hazina na hazitokuja kuwa na sifa sawa na vyakula vya asili, kwa sababu molecular structure yake ni incomplete yaani kuna molecules ions zimetolewa zikaongezwa nyingine kwa ajili ya modification, na ions hizo hazina sifa ya kufungamana na original molecules ions hivyo zinachofanya ni uzalishaji wa kile kile kitu lakini molecule structure ni incomplete some ions still hanging in there, so any ion can be attached and we don't know what ions will be attached and what molecular structure will be formed after that, but after years the outcome will tell it all.
Kwa sababu haina madhara ya titi for tati haimaanishi haina madhara kabisa time will tell.
Cancer sio ugonjwa wa kurithi its a lifetime process of adding foreign ion particles to your body in molecular level.
 
Pole sana hujui kitu, umekaririshwa
 
Hongera sana unajua kila kitu Mzungu kakuelimisha
Unajua Seedco na Monsanto ni Kampuni hizo hizo?

Unajua ngano tunazotumia wanatoa mbegu monsanto?

Unajua mahindi yetu mbegu ni za seedco?

GMO inapingwa sababu mbegu zake haziwezi pandwa tena, hivyo inabidi ununue.
GMO seeds haziwezi pollinate mbegu zingine kwa ufupi ukiziweka pamoja zinaua generic ones.

Kingine ni kuwa hatuwezi kwepa GMO

Angalia Vitunguu, Nyanya, za sasa kisha linganisha na za zamani
 
USIWATISHE WATU MKUU,mtu yeyote anayetaka kupunguza uzito njia ni moja tu NI KULA UNAPOSIKIA NJAA NA KWA KIASI.yaan ukisikia njaa kula ila usile sana kama ulikuwa unakula plate imejaa kula nusu yake halafu tulia...nilikuwa na uzito wa 85 now nina 70....watu wengi wanakula kwa mazoea yaan utakuta sometimes wala njaa haiumi ila anapakia tu dadeq
 
Hizo seedco kipindi zinaingia bi mkubwa wangu alizikataa japo waliozikubalia ni kweli mazao yalikuwa kwa haraka lakini; hujiulizi kwanini huwezi kuzipanda mpaka ununue tena? Je kwa sayansi ndogo tu ya darasa la 5, ilisemaje kuhusu ukuaji wa mimea? What about pollination?
Kwa hiyo kwa kuwa hatuwezi kuzikwepa tuassume hazina madhara?
We umetoa maelekezo katika physical state ila mi nimekueleza katika molecular state when they consumed as a food, lakini mwisho wa siku mi nimekaririshwa, we ndio unaelewa.
Ni kweli sio wote tumesoma Chemistry lakini pia sio wote tumepitia semina za NGOs juu ya kuzipigia debe GMO. Kila mtu abaki na anachokijua. Yajayo yanafurahisha
 
Wataalamu wangeweka formula ya chakula hapa.Watu tunakula ugali mkubwa na mboga ambazo zinafanya tunaongeza uzito.
 
Wewe umeliweka kitaalamu zaidi insulin ni nini? Na glucagon nini zina patikana kwenye aina gani ya vyakula utabalance je hizo items kwa kutumia chakula chako cha kila siku.
Zote ni homoni ambapo insulin hutumika kumeng'enya sukari na wanga huku glucagon hutumika kumeng'enya mafuta. Sasa unapokula chakula chenye wanga nyingi au sukari unachochea uzalishwaji mwingi wa insulin ili kusaidia kumeng'enya sukari ai wanga iliyopo huku glucagon ikiwa katika kiwango cha chini, na glucagon ikiwa chini hupelekea mafuta ,wilini kutunzwa katika maeneo mbalimbali ya mwili hasa tumboni hivyo kusababisha kitambi au Obesity kwa kitaalamu. Kwa hiyo badala ya kufanya diet ni vyema kutumia vitu kwa kiasi. Ila kutokana na mtindo wa maisha, ongezeko la kipato pamoja na sababu zingine kunakuwa na changamoto sana ya kuweza kula kwa kiasi na kula mlo kamili.
 
USIWATISHE WATU MKUU,mtu yeyote anayetaka kupunguza uzito njia ni moja tu NI KULA UNAPOSIKIA NJAA NA KWA KIASI.yaan ukisikia njaa kula ila usile sana kama ulikuwa unakula plate imejaa kula nusu yake halafu tulia...nilikuwa na uzito wa 85 now nina 70....watu wengi wanakula kwa mazoea yaan utakuta sometimes wala njaa haiumi ila anapakia tu dadeq
Mkuu hilo linategemea na kazi zako za kila siku, kwahiyo unataka tutembea na containers za vya kula ila tuwe tunakula njaa ikingia mbona hiyo itakua kazi kama ya wototo wa chekechea.
 
Kama diet ni gharama basi piga zoezi.
Halafu hayo mamboga ya wahindi ya nini wakati mboga za majani zinatembezwa na wamama kwenye mabeseni kila mahali, fungu jero tu, mafungu mawili buku.
Anataka za majan zile za wahindi
 
Jamani kama wewe ni mtumishi anaepokea hi mishahara yetu ya single digit, kama una uwezo wa kuzuia mwili kufumka fanya hivo mapema, kwasbb kuupunguza huko mbele ni gharama kweli kweli.

Huu ni mwezi wangu wa pili kwenye kufuata diet ya nutrients ili ni punguze mwili urudi kawaida yake I.e kabla ya kuuachia (70 to 85kg.) daily expenditure ku-mantain diet kwa ushauri wa mtaalamu ili ni sipate madhara mengine kama vidonda vya tumbo nk.

Kwa siku natumia kati ya 30k to 50k mtu moja.

Kuna boga boga zamani niliziona kwamba ni zawahindi na foreigners ila sasa zimekua menu ya kawaida kwangu fungu moja ni 7k natumia mafungu mawili kwa siku 14k green beans kilo 8k natumia nusu, 4k kuku ya wakienyeji au samaki kwa siku mbili mchemsho ila bila ngozi 25k, kipande cha gimbi 3k, parachichi 2k, apples kupozea njaa 3k. Bogaboga zingine na lemao 2k Average kwa siku natumia 30k to 50,000 kwa mwezi 900k hadi 1.5m.

Sasa niambie we mualimu mshahara wako ni 800k utaweza kweli kutoa hiyo obese au utasubilia pressure na kisukali vikusumbue wezeeni wako wote. Mda ndo sasa kuzuia mwili mkubwa.
Kacheo kenyewe umepanda juzi tu! Mbwembwe nyingiii na unawananga watumishi wenzio! Acha mazereu wewe
 
Mkuu mbona una makasiriko uko off topic ujumbe hujaupata mkuu, kama mshahara mdogo acha hasira wote tuna huo huo ila tunakomaa tu.
 
Mkuu mbona una makasiliko uko off topic ujumbe hujaupata mkuu, kama mshahara mdogo acha hasira wote tuna huo huo ila tunakomaa tu.
Wala sina makasiriko mkuu,ila naamini ujumbe umefika
 
Back
Top Bottom