Kumbe kufanya Diet ni gharama kuliko Menu za KFC

Covax

JF-Expert Member
Joined
Feb 15, 2021
Posts
13,680
Reaction score
41,156
Jamani kama wewe ni mtumishi anaepokea hi mishahara yetu ya single digit, kama una uwezo wa kuzuia mwili kufumka fanya hivo mapema, kwasbb kuupunguza huko mbele ni gharama kweli kweli.

Huu ni mwezi wangu wa pili kwenye kufuata diet ya nutrients ili ni punguze mwili urudi kawaida yake I.e kabla ya kuuachia (70 to 85kg.) daily expenditure ku-mantain diet kwa ushauri wa mtaalamu ili ni sipate madhara mengine kama vidonda vya tumbo nk.

Kwa siku natumia kati ya 30k to 50k mtu moja.

Kuna boga boga zamani niliziona kwamba ni zawahindi na foreigners ila sasa zimekua menu ya kawaida kwangu fungu moja ni 7k natumia mafungu mawili kwa siku 14k green beans kilo 8k natumia nusu, 4k kuku ya wakienyeji au samaki kwa siku mbili mchemsho ila bila ngozi 25k, kipande cha gimbi 3k, parachichi 2k, apples kupozea njaa 3k. Bogaboga zingine na lemao 2k Average kwa siku natumia 30k to 50,000 kwa mwezi 900k hadi 1.5m.

Sasa niambie we mualimu mshahara wako ni 800k utaweza kweli kutoa hiyo obese au utasubilia pressure na kisukali vikusumbue wezeeni wako wote. Mda ndo sasa kuzuia mwili mkubwa.
 
Jitahidi kupunguza kiasi (portion) ya mlo wako. Kama nia ni kupunguza mwili, basi usifakamie unachokula. Mwalimu anaweza asiwe na tatizo lako kutokana na asili ya maisha/ kazi, kutembea, kusimama na hata chakula chake, hivyo tatizo lako usilihusishe na taaluma za wengine.
 
Kama diet ni gharama basi piga zoezi.
Halafu hayo mamboga ya wahindi ya nini wakati mboga za majani zinatembezwa na wamama kwenye mabeseni kila mahali, fungu jero tu, mafungu mawili buku.
Mkuu nitrients za hizo mbogamboga ni tofauti kwa mfano mchicha na chines zina ingredients nyingi za carbohydrates ukilinganisha na spinach na Brough kwa hiyo kama unataka upunguze carolies inabidi utumie boga boga zenye low concentrated carbohydrates, mazezi sio suluhisho la unene hiyo ondoa.
 
Jitahidi kupunguza kiasi (portion) ya mlo wako. Kama nia ni kupunguza mwili, basi usifakamie unachokula. Mwalimu anaweza asiwe na tatizo lako kutokana na asili ya maisha/ kazi, kutembea, kusimama na hata chakula chake, hivyo tatizo lako usilihusishe na taaluma za wengine.
Kuna watu wenye mili yao ukigusa chakula chenye starch nyingi wali ugali hata kama kdgo mwili unafumka dawa ni kuacha hicho chakula kabisa.
 
Inategemea unafanyaje. Piga mazoezi huku unatumia gym supplements za kukata fat na mafuta utashangaa mwili utavyokua trimmed
Its suitable for those below 30yrs old sio sisi ambao tuko above 35....mwili una kanuni zake sio kila mtu afanye hivo.
 
Elimu elimu elimu,
Mchicha fungu 1 tsh. 500, parachichi 2 tsh. 1000, ndizi 5 tsh 1000 (kwa siku 2 zatosha) , embe 1 kama ni msimu au tikiti, tango, ndimu, kaugali kadogo.
Ni sayansi isiyohitaji hata tuition, hayo mamboga ya elfu 7 tena ma GMO, mnapigwa tu na wakati kuna mbadala wa tsh 500, swala la afya haliitaji utaalamu na gharama kiasi hicho huwaoni wazee wa kijijini walivyo miti mikavu afu miaka mingi mpaka wamesahau wana miaka mingapi unadhani na wao wanatumia 900k kwa mwezi, hapo ni utashi wa akili tu.
Achana na maGMO yatakupoteza kabisa, kwanza binadamu unakulaje au unaishi lifestyle gani mpaka unakuwa ka sanamu wa michelin, mi huwa na waangalia na mavitambi yao naishia kucheka ndani kwa ndani afu ndo wanajiona wameyapatia maisha wenyewe.
 
Kuna watu wenye mili yao ukigusa chakula chenye starch nyingi wali ugali hata kama kdgo mwili unafumka dawa ni kuacha hicho chakula kabisa.
Kama ulivyosema, wanga ndio tatizo. Mimi nafanya diet pia, Nina miezi kadhaa, sili wali, ugali, mkate chapati na maandazi na jamii hiyo.
Chakula kikubwa ni maboga, nikibadili na magimbi au ndizi tamu, hiyo ni kutokana na mapenzi yangu. Vitoweo vingine kama samaki au kuku, nakula kama kawaida japo si kwa wingi, mboga za majani na matunda kwa wingi, asali badala ya sukari katika chai, sinywi soda yoyote, maji kwa wingi, juisi kidogo. Sifanyi zoezi lolote wala kutumia supplements, nimeshapungua kilo si chini ya 15.
 
Nadhani kuongeza mwili ndio gharama kwasababu inabidi ULE KWELI ila kuounguza mwili kuounguza gharama maana inabidi USILE.

Ila wewe naina umekuwa VISEVERSA
 
Jamani kama wewe ni mtumishi anaepokea hi mishahara yetu ya single digit, kama una uwezo wa kuzuia mwili kufumka fanya hivo mapema, kwasbb kuupunguza huko mbele ni gharama kweli kweli.

Huu ni mwezi wangu wa pili kwenye kufuata diet ya nutrients ili ni punguze mwili urudi kawaida yake I.e kabla ya kuuachia (70 to 85kg.) daily expenditure ku-mantain diet kwa ushauri wa mtaalamu ili ni sipate madhara mengine kama vidonda vya tumbo nk.

Kwa siku natumia kati ya 30k to 50k mtu moja.

Kuna boga boga zamani niliziona kwamba ni zawahindi na foreigners ila sasa zimekua menu ya kawaida kwangu fungu moja ni 7k natumia mafungu mawili kwa siku 14k green beans kilo 8k natumia nusu, 4k kuku ya wakienyeji au samaki kwa siku mbili mchemsho ila bila ngozi 25k, kipande cha gimbi 3k, parachichi 2k, apples kupozea njaa 3k. Bogaboga zingine na lemao 2k Average kwa siku natumia 30k to 50,000 kwa mwezi 900k hadi 1.5m.

Sasa niambie we mualimu mshahara wako ni 800k utaweza kweli kutoa hiyo obese au utasubilia pressure na kisukali vikusumbue wezeeni wako wote. Mda ndo sasa kuzuia mwili mkubwa.
Mlo wa Mtanzania unahitaji diet ipi tena?

Wacheni utani.
 
Elimu elimu elimu,
Mchicha fungu 1 tsh. 500, parachichi 2 tsh. 1000, ndizi 5 tsh 1000 (kwa siku 2 zatosha) , embe 1 kama ni msimu au tikiti, tango, ndimu, kaugali kadogo.
Ni sayansi isiyohitaji hata tuition, hayo mamboga ya elfu 7 tena ma GMO, mnapigwa tu na wakati kuna mbadala wa tsh 500, swala la afya haliitaji utaalamu na gharama kiasi hicho huwaoni wazee wa kijijini walivyo miti mikavu afu miaka mingi mpaka wamesahau wana miaka mingapi unadhani na wao wanatumia 900k kwa mwezi, hapo ni utashi wa akili tu.
Achana na maGMO yatakupoteza kabisa, kwanza binadamu unakulaje au unaishi lifestyle gani mpaka unakuwa ka sanamu wa michelin, mi huwa na waangalia na mavitambi yao naishia kucheka ndani kwa ndani afu ndo wanajiona wameyapatia maisha wenyewe.
Hebu tueleze GMO ni kitu gani wengine hatujui
 
Back
Top Bottom