Stress kwa wengne zinasababisha uneneUkiwa na madeni wala huna haja ya diet
Mkuu mimi si fukia na nimesha pungua tayari target achieved nimetoa tu tahadhari kwa watumishi kua wangarifu eli kuepuka gharama za dietKuna vyakula ukiviacha unapungua, shida wewe unapenda kufukia
Kila siku Green Bean's, badilisha badilisha, zukini, cauliflower, brokoli, beet root Ila ili linaupishi wake, we si unapenda vya Bei vya malikia, hutaki mikabichi yetu.[emoji16]Mkuu nitrients za hizo mbogamboga ni tofauti kwa mfano mchicha na chines zina ingredients nyingi za carbohydrates ukilinganisha na spinach na Brough kwa hiyo kama unataka upunguze carolies inabidi utumie boga boga zenye low concentrated carbohydrates, mazezi sio suluhisho la unene hiyo ondoa.
Mkuu acha ubishi neenda ukaulizie hizo bongo za majani za kihindi acha mchicha kuna moja inaitwa blokoli neenda ukaulizia supermarket yenye fresh vegetablesYani mboga za majini 7 inakuwaje acha hizo habari za uongo
Mkuu mbona nabadilisha sana ila vyote ni bei hamna hapo vya 500 kama member moja alivo pedekeza hiyo cauliflower cone moja 5k brocoli 3k beetroots nne 5k.Kila siku Green Bean's, badilisha badilisha, zukini, cauliflower, brokoli, beet root Ila ili linaupishi wake, we si unapenda vya Bei vya malikia, hutaki mikabichi yetu.[emoji16]
Jamani kama wewe ni mtumishi anaepokea hi mishahara yetu ya single digit, kama una uwezo wa kuzuia mwili kufumka fanya hivo mapema, kwasbb kuupunguza huko mbele ni gharama kweli kweli.
Huu ni mwezi wangu wa pili kwenye kufuata diet ya nutrients ili ni punguze mwili urudi kawaida yake I.e kabla ya kuuachia (70 to 85kg.) daily expenditure ku-mantain diet kwa ushauri wa mtaalamu ili ni sipate madhara mengine kama vidonda vya tumbo nk.
Kwa siku natumia kati ya 30k to 50k mtu moja.
Kuna boga boga zamani niliziona kwamba ni zawahindi na foreigners ila sasa zimekua menu ya kawaida kwangu fungu moja ni 7k natumia mafungu mawili kwa siku 14k green beans kilo 8k natumia nusu, 4k kuku ya wakienyeji au samaki kwa siku mbili mchemsho ila bila ngozi 25k, kipande cha gimbi 3k, parachichi 2k, apples kupozea njaa 3k. Bogaboga zingine na lemao 2k Average kwa siku natumia 30k to 50,000 kwa mwezi 900k hadi 1.5m.
Sasa niambie we mualimu mshahara wako ni 800k utaweza kweli kutoa hiyo obese au utasubilia pressure na kisukali vikusumbue wezeeni wako wote. Mda ndo sasa kuzuia mwili mkubwa.
ChaiJamani kama wewe ni mtumishi anaepokea hi mishahara yetu ya single digit, kama una uwezo wa kuzuia mwili kufumka fanya hivo mapema, kwasbb kuupunguza huko mbele ni gharama kweli kweli.
Huu ni mwezi wangu wa pili kwenye kufuata diet ya nutrients ili ni punguze mwili urudi kawaida yake I.e kabla ya kuuachia (70 to 85kg.) daily expenditure ku-mantain diet kwa ushauri wa mtaalamu ili ni sipate madhara mengine kama vidonda vya tumbo nk.
Kwa siku natumia kati ya 30k to 50k mtu moja.
Kuna boga boga zamani niliziona kwamba ni zawahindi na foreigners ila sasa zimekua menu ya kawaida kwangu fungu moja ni 7k natumia mafungu mawili kwa siku 14k green beans kilo 8k natumia nusu, 4k kuku ya wakienyeji au samaki kwa siku mbili mchemsho ila bila ngozi 25k, kipande cha gimbi 3k, parachichi 2k, apples kupozea njaa 3k. Bogaboga zingine na lemao 2k Average kwa siku natumia 30k to 50,000 kwa mwezi 900k hadi 1.5m.
Sasa niambie we mualimu mshahara wako ni 800k utaweza kweli kutoa hiyo obese au utasubilia pressure na kisukali vikusumbue wezeeni wako wote. Mda ndo sasa kuzuia mwili mkubwa.
Labda kwako ambae unakosa exposure ya maisha unafikiri kila mtu anaishi kama pakaChai
Ninaichukia Sana GMO,Yani pilipili sikuhizi haziwashi,kitunguu sio kikali Kama zamani,Mchele haunukii Tena,ugali wetu wa kivelege ule unga mahindi yakikobolewa tunaloweka Kisha tunayaanika then tunaenda kuyasaga kwa hii GMO yao haupati Ile Testa tena.namchukia majaliwa kasim majaliwa.nyanya nazo zimekuwa kubwa Kama fenesi,karoti,hoho,vimekuwa upumbavu mtupu.Unajua Seedco na Monsanto ni Kampuni hizo hizo?
Unajua ngano tunazotumia wanatoa mbegu monsanto?
Unajua mahindi yetu mbegu ni za seedco?
GMO inapingwa sababu mbegu zake haziwezi pandwa tena, hivyo inabidi ununue.
GMO seeds haziwezi pollinate mbegu zingine kwa ufupi ukiziweka pamoja zinaua generic ones.
Kingine ni kuwa hatuwezi kwepa GMO
Angalia Vitunguu, Nyanya, za sasa kisha linganisha na za zamani
Aliepukiki tena lazima ulima vyakwako mwenyewe ila kwasasa genetically modified food iko kila sehemu hata hizi ndizi zimesha ingiliwa tayari, ndo maana unakuta mtoto mdogo 5yrs inaumwa kensa kisukali pressure ya kupanda mwoyo nk, tunako elekea kila mtu ajichunge mwenyewe serikali imesha tukabizi kwa modernity.Ninaichukia Sana GMO,Yani pilipili sikuhizi haziwashi,kitunguu sio kikali Kama zamani,Mchele haunukii Tena,ugali wetu wa kivelege ule unga mahindi yakikobolewa tunaloweka Kisha tunayaanika then tunaenda kuyasaga kwa hii GMO yao haupati Ile Testa tena.namchukia majaliwa kasim majaliwa.nyanya nazo zimekuwa kubwa Kama fenesi,karoti,hoho,vimekuwa upumbavu mtupu.
Kuna Dr appt nilifanya Nov 2021 nilikuwa na uzito wa 188 lbs na appt iliyofuata ilikuwa Feb 2023 uzito ulikuwa 164.4 lbs. Zoezi nilianza Nov 2022.Ulipungua 15 kwa mda gani na kutoka kilo ngapi ....ila angalia matunda mengine yana sukali nyingi ukiakuepa utapungua kilo nyingi.
hapo jitahidi upate protein ya kutosha piaKama ulivyosema, wanga ndio tatizo. Mimi nafanya diet pia, Nina miezi kadhaa, sili wali, ugali, mkate chapati na maandazi na jamii hiyo.
Chakula kikubwa ni maboga, nikibadili na magimbi au ndizi tamu, hiyo ni kutokana na mapenzi yangu. Vitoweo vingine kama samaki au kuku, nakula kama kawaida japo si kwa wingi, mboga za majani na matunda kwa wingi, asali badala ya sukari katika chai, sinywi soda yoyote, maji kwa wingi, juisi kidogo. Sifanyi zoezi lolote wala kutumia supplements, nimeshapungua kilo si chini ya 15.
Vingi huko downtown are contaminated mazingira yao hayalidhishi hawana cooling system wana rudika vya siku za nyuma ile freshness unaikosa......Nadhani wewe vitu unanunua kisutu, green beans 8K? Jitie zako Buguruni au Mabibo gharama yako ya diet itapungua significantly.
Hata mie naona mleta mada kama yupo kinyumeNadhani kuongeza mwili ndio gharama kwasababu inabidi ULE KWELI ila kuounguza mwili kuounguza gharama maana inabidi USILE.
Ila wewe naina umekuwa VISEVERSA
Mwenzetu anaishi kishua hao aki na mama wanaotembeza au wenye vibanda siyo hadhi yake. Inaonekana anachukua mzigo kutoka shoppersElimu elimu elimu,
Mchicha fungu 1 tsh. 500, parachichi 2 tsh. 1000, ndizi 5 tsh 1000 (kwa siku 2 zatosha) , embe 1 kama ni msimu au tikiti, tango, ndimu, kaugali kadogo.
Ni sayansi isiyohitaji hata tuition, hayo mamboga ya elfu 7 tena ma GMO, mnapigwa tu na wakati kuna mbadala wa tsh 500, swala la afya haliitaji utaalamu na gharama kiasi hicho huwaoni wazee wa kijijini walivyo miti mikavu afu miaka mingi mpaka wamesahau wana miaka mingapi unadhani na wao wanatumia 900k kwa mwezi, hapo ni utashi wa akili tu.
Achana na maGMO yatakupoteza kabisa, kwanza binadamu unakulaje au unaishi lifestyle gani mpaka unakuwa ka sanamu wa michelin, mi huwa na waangalia na mavitambi yao naishia kucheka ndani kwa ndani afu ndo wanajiona wameyapatia maisha wenyewe.
Hii pia ni kweli!USIWATISHE WATU MKUU,mtu yeyote anayetaka kupunguza uzito njia ni moja tu NI KULA UNAPOSIKIA NJAA NA KWA KIASI.yaan ukisikia njaa kula ila usile sana kama ulikuwa unakula plate imejaa kula nusu yake halafu tulia...nilikuwa na uzito wa 85 now nina 70....watu wengi wanakula kwa mazoea yaan utakuta sometimes wala njaa haiumi ila anapakia tu dadeq
hapa mbezi tuu broccoli ni 1k , beetroot kariakoo ni 2000/ 1kg , wewe utakuwa unashop kiboss pale shoppers, pia hizo mboga mboga kama celery, beetroot,spinach,green beans,n.k unaweza kuzipanda nyumbani ukapunguza gharamaMkuu mbona nabadilisha sana ila vyote ni bei hamna hapo vya 500 kama member moja alivo pedekeza hiyo cauliflower cone moja 5k brocoli 3k beetroots nne 5k.