Robert Heriel Mtibeli
JF-Expert Member
- Mar 24, 2018
- 38,717
- 89,895
Jamani kwema?
Ila wanawake ni wasiri jamani, mbona hata hamsemagi kwamba hizi "morning sickness" hilo ni neno tu ila inashinda siku nzima jamani?
Natamani hata mtu angeniambia kwamba ni vichefuchefu siku nzima. Mimi nilijua kama jina lilivyo basi ikifika mchana natakiwa niwe fresh.
Week 8 sasa ila food eversion na nausea muda wote. Kila chakula ninachokifikiria nahisi kichefuchefu.
Nahisi kuumwaumwa tu nikikaa sisikii raha nikilala sisikii raha bora hata kutembea tembea nje. Hiki kichefuchefu natamani hata nitapike ila ni kichefuchefu tu bila kutapika. Khaaa hadi natamani nipige mayowe.
Acha tu jamani watu waringe na watoto wao. Sasa nimeelewa.
Heee Joana na ww kumbe badoHeri wewe unaweka uhalisia
Tofauti na hivyo ulivyotaja kingine ni nini kinakera ili tujiandae mambo yakiwa mambo
Heri wewe unaweka uhalisia
Tofauti na hivyo ulivyotaja kingine ni nini kinakera ili tujiandae mambo yakiwa mambo
Huwezi kujipangia ule nini mkuu.mimba achana nazo .Kaa sehemu yenye hewa nzuri, ikiwezekana baridi. Joto litakufanya ujihisi vibaya na kutapikatapika mara Kwa mara.
Kula vyakula ambavyo havina asidi na vyepesi kumeng'enywa.
Epuka mazingira yenye harufu za ajabuajabu
Mie nashangaaga wengine hawaumwi kabisa...wengine hizo morning sickness had unaingia labor🙌Jamani kwema?
Ila wanawake ni wasiri jamani, mbona hata hamsemagi kwamba hizi "morning sickness" hilo ni neno tu ila inashinda siku nzima jamani?
Natamani hata mtu angeniambia kwamba ni vichefuchefu siku nzima. Mimi nilijua kama jina lilivyo basi ikifika mchana natakiwa niwe fresh.
Week 8 sasa ila food eversion na nausea muda wote. Kila chakula ninachokifikiria nahisi kichefuchefu.
Nahisi kuumwaumwa tu nikikaa sisikii raha nikilala sisikii raha bora hata kutembea tembea nje. Hiki kichefuchefu natamani hata nitapike ila ni kichefuchefu tu bila kutapika. Khaaa hadi natamani nipige mayowe.
Acha tu jamani watu waringe na watoto wao. Sasa nimeelewa.
Kuna ile kutema mate inaweza kwenda na wewe hadi unaingia lebaMie nashangaaga wengine hawaumwi kabisa...wengine hizo morning sickness had unaingia labor[emoji119]
Si umpe mimba sasa.ndege huyo hapo malizia acha longolongoSiamini
Naomba kujua folic acid zipi nzuri Kwa kujiandaa kubeba mimba.Sikia miezi mitatu minne ya mwanzo yaani hakuna rangi utaacha kuona.mimi nilikuwa natamani kutapika dunia yote.yaani chakula unachagua nilikuwa najipikia mwenyewe maana mtu akipika asipopika kama navotaka na yeye namchukia vibaya mno sitaki hata kumuona tena nikija kumuona natapika tu
Ila nikuombe usiache kutumia folic japo zinachangia kuchefua ila usiache
Ukimaliza miezi ya mwanzo mwezi wa nne kati hapo hadi saba unakuwa sawa ila kuchoka sana maana mtumbo unakuwa ushaanza kujaa na unatakiw ulale kushoto sana.so unachoka na uzito unakuwa umeongezeka hata kilo 10 hivi
Miezi ya mwisho nayo ni kuchooka maana mtoto anakuwa kawa mkubwa zaidi ila hujiskii vibaya kiivo jikaze
Ila hakikisha una folic na mavitamins ili uzae katoto kazuri
Unafutuka balaa usoni..ah...watoto waheshimu sana mama zao aise..Kuna ile kutema mate inaweza kwenda na wewe hadi unaingia leba
Hapo uso haujajaa kama tofali
Ila watoto wa kiume hawatesi kama wa kike
Kama mimba ya boy hupati shida sana
Baby girl sasa daah
Si umpe mimba sasa.ndege huyo hapo malizia acha longolongo
Folic ni folic ila kuna prenatal za before conception ndo nilikuwa natumia japo ni ghali ila zilinisaidia kwanza period yangu ilikaa stable siku 28.ila zinanenepesha nazo balaa .zinaitwa pregnacare za ukNaomba kujua folic acid zipi nzuri Kwa kujiandaa kubeba mimba.
Sio maneno ya kumuambia mwanamke yoyote mkuu .hata wewe ni mzaziSi ajabu baharia alitaka kumwagia nje yeye na kiherehere chake akamng'ang'ania na kumbana kwa miguu na mikono ili asimponyoke. Sasa kimeumana.
Na hii ni intro tu. Korasi hasa ipo kule leba maana siyo wote waingiao huko hutoka salama.
Tumuombee mleta mada ili aondokane na hofu. Everything gonna be alright IJN [emoji1545][emoji1545][emoji1545]
Miezi sita unakuwa huoni hata k yako.inapotea huko chini hamuonani.niliimis hatareUnafutuka balaa usoni..ah...watoto waheshimu sana mama zao aise..
Bado etiHeee Joana na ww kumbe bado
Inawezekana nikawa kama yeyeKuna wengine hawapati shida hata moja kila mtu na bahati yake asikutishe shoga
Aisee mkeo ana bahati sana.ujengewe mnara wakoMimba husumbua kwa baadhi ya watu kadri umri unavyosogea kuelekea kujifungua.
Kuna mimba humsumbua Mama, na baadhi akina Baba.
Mimi kila wife akibeba mimba basi ambaye anasumbuka huwa ni Mimi Baba.
Huwa nachagua vyakula, kichefuchefu lakini huwa sipendi mazingira machafu hata kama nitaenda ugenini.
Mbaya zaidi siku ya kujifunguza wife, basi dalili hunijia mimi.
Last time wife anakaribia kujifungua siku mbili mbele, basi nilishikwa na tumbo la kuendesha hadi alipojifungua ndiyo likakata.
Hivyo ni baadhi ya complications za mimba kwa akina Mama na akina Baba baadhi yetu.
Kwahiyo ukiwa Mzazi mtarajiwa, hivyo vitu ni vya kuzoea tu
Ila ukitulia akili kidoooogo hua zinakuja kuja,Kaa sehemu yenye hewa nzuri, ikiwezekana baridi. Joto litakufanya ujihisi vibaya na kutapikatapika mara Kwa mara.
Kula vyakula ambavyo havina asidi na vyepesi kumeng'enywa.
Epuka mazingira yenye harufu za ajabuajabu
Hahahaha...Miezi sita unakuwa huoni hata k yako.inapotea huko chini hamuonani.niliimis hatare