Plan Master
JF-Expert Member
- Jan 1, 2021
- 2,188
- 3,776
Upo vizuriMpende tu maana huwezi kuingia mwilini mwake
Pia msaidie kuandaa vitu asipate stress
List ya mahitaji kwa ajili ya kujifungua
[emoji527]PESA YA AKIBA narudia Tena pesa ya akiba
[emoji527]Khanga nzito pair 3-4 zilizolainika
[emoji527]Vitenge wax nzito pair 2-3 vilivyo lainika
[emoji527]Soksi pair 4
[emoji527]Kofia PC 4
[emoji527]Mpira wa kujifungulia
[emoji527]Mafuta ya mtoto
[emoji527]sabuni ya mtoto
[emoji527]Pedi zako (maternity pads au za kawaida)
[emoji527]Baby shoo
[emoji527]Nguo za mtoto (Kanyelamumo masweta suruali Tisheti )
[emoji527]Ndoo yenye mfuniko ya kwendea hospitali
[emoji527]Beseni la mtoto
[emoji527]Mkoba wa kwendea leba
[emoji527]Baby receiver kubwa
[emoji527]Vitambaa laini vya kumuogeshea
[emoji527]Neti ya mtoto
[emoji527]Blanketi la mtoto
[emoji527]Pempas
[emoji527]Wipes
[emoji527]Chupi za kwendea leba 3-4
[emoji527]Vifaa vya kujifungulia au cash
[emoji527]Pesa ya dharula
[emoji527]Pini za kubania kidaso
[emoji527]Nepi
[emoji527]Chupi za mkojo
[emoji527]Vidaso/visempe
[emoji527]Vile vikaratasi vya plastic vya kufungua kidaso (Bambino)
[emoji527]Bebeo la kupimia uzito
[emoji527]Magauni yako 2-3 yatakayotoa nyonyo kirahisi
[emoji527]Star soft[emoji13]
N.k.n.k ongeza ukitakacho kulingana na matakwa yako
NYUMBANI UWE NA
[emoji527]Chupa mbili kwa ajili ya kuwekewa uji
[emoji527]Hotpot
[emoji527]Kikapu
[emoji527]Unga wa uji
[emoji527]Sukari
[emoji527]Sabuni za unga
[emoji527]Pilipili manga iliyosangwa na kusagika vizuri
[emoji527]Andaa mtu wa bili ya maziwa atakaye leta kila siku
[emoji527]Mkaa[emoji13]
Hahaaaaa, unaishi maisha ya maigizo sana dogo. Mwanaume gani huyo aliyesema hivyo. Hilo ni lofa na ndio ananuswa pumbu huyo eti mimba inataka harufu ya pumbu.
Nimecheka sana na pia nimejisikia vibaya kwa hii comment yako. Pole na kuwa na jioni njema, point yangu ni kuwa ni kweli mimba hua zinasumbua but sio kwa kiwango hiko mnachoikuza.
Hicho kitu unachokisema kinaweza kuwa kweli nimeshawahi sikia hizo habari.Unaona sasa ulivyo mpumbavu? Wewe ni mpumbavu sana. Mtu ka share experience yake anayoipitia yeye mke wake akiwa mjamzito dalili zote anabeba yeye halafu unamwita lofa Kama sio upunguani unakusumbua ni nini?
Yaani wewe una ujuaji wa kijinga sana na sidhani kama hata una shule wewe. Haya jioni njema na wewe peleka ujinga wako huko.
Haya sister basi kuwa na jioni njema.
Toa ml 3 ajifungue fresh wewe nunua nguo tu napampers uone nirahisiMadude yote haya mtu anaenda nayo hospitali acheni masikhara basi duh
Hahaaaaaaaa, hakuna mwanaume wa kweli wa namna ya huyo jamaa. Ndio tuwanaume twa sasa mnavyotupiga makofi hivyo ja kuviambia mimba inataka inuse halafu ya pumbu zake au asipige mswaki inataka isikie harufu ya kinywa chake. Dah, waoneeni huruma watoto wa wanawake wenzenu.Unaona sasa ulivyo mpumbavu? Wewe ni mpumbavu sana. Mtu ka share experience yake anayoipitia yeye mke wake akiwa mjamzito dalili zote anabeba yeye halafu unamwita lofa Kama sio upunguani unakusumbua ni nini?
Yaani wewe una ujuaji wa kijinga sana na sidhani kama hata una shule wewe. Haya jioni njema na wewe peleka ujinga wako huko.
Haya basi yaishe umeshinda.Sawa siku nyingine subiri mada za kutahiriwa ndio uweke uzoefu wako kama iliuma au haikuuma maana ndio kitu unaweza ukawa unajua vizuri ila sio za kubeba mimba maana haujawahi kubeba mimba wewe. Usivalie njuga mambo ambayo haujayapitia wewe mke wako sio wewe. Ndio maana mke wako hawezi jua ulipitia nini huko jandoni.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]asubiri mada za niniSawa siku nyingine subiri mada za kutahiriwa ndio uweke uzoefu wako kama iliuma au haikuuma maana ndio kitu unaweza ukawa unajua vizuri ila sio za kubeba mimba maana haujawahi kubeba mimba wewe. Usivalie njuga mambo ambayo haujayapitia wewe mke wako sio wewe. Ndio maana mke wako hawezi jua ulipitia nini huko jandoni.
Hahaaaaaaaa ulitisha sana 😄🤣 kwahio mpaka lini 😄Picha za utupu 🤣🤣🤣🤣
Peleka uzi wako jukwaa la JF DoctorJamani kwema?
Ila wanawake ni wasiri jamani, mbona hata hamsemagi kwamba hizi "morning sickness" hilo ni neno tu ila inashinda siku nzima jamani?
Natamani hata mtu angeniambia kwamba ni vichefuchefu siku nzima. Mimi nilijua kama jina lilivyo basi ikifika mchana natakiwa niwe fresh.
Week 8 sasa ila food eversion na nausea muda wote. Kila chakula ninachokifikiria nahisi kichefuchefu.
Nahisi kuumwaumwa tu nikikaa sisikii raha nikilala sisikii raha bora hata kutembea tembea nje. Hiki kichefuchefu natamani hata nitapike ila ni kichefuchefu tu bila kutapika. Khaaa hadi natamani nipige mayowe.
Acha tu jamani watu waringe na watoto wao. Sasa nimeelewa.
Mwezi huu mwishoniHahaaaaaaaa ulitisha sana 😄🤣 kwahio mpaka lini 😄
Wala msilaumu sana mkuu wanawake wa sasa wanaendana tu na wanaume wa sasa tena afadhali hata ya wanawake, wanaume wengi wa sasa wamefanya jukumu la kutafuta pesa na kuhudumia mke na watoto lionekane ni kubwa sana kiasi cha wengine kulikimbia kabisa na wengine kutaka wapewe heshima yao kwa kulifanya, na wengine wanaenda mbali zaidi na kutaka wanawake wawasaidie hilo jukumu licha ya kuwa wanawake tayari wana majukumu yao yanawasubiri ambayo wao wanaume hawawasaidiiNaona umekurupuka na kujaa upepo. Hakuna sehemu niliyosema wanaokufa au wanaoshindwa kujifungua hadi kufanyiwa operesheni ni wanajifanyisha. Hoja yangu ni kuwa wanawake wa sasa nyie masista du mnajiendekeza na mnaigiza maisha yaani Mimba mnafanya kama kitu kikubwa sana. Yaani ukiwa na mimba unataka na mme naye awe na mimba kwa kumpelekesha. Mbona huku vijijini wanawake hawafanyi hivyo mfanyavyo? Hayo mengine ni yako.
Ushauri mzuri ila hayo yoote yanatokana na maisha kama huna maisha huna chaguoHiyo hali utakua nayo katika miezi mitatu ya mwanzo 'First Trimester' baada ya hapo utakua poa na kuenjoy ujauzito wako,
Mtoto akianza kucheza ni best experience ever, gusa gusa tumbo lako mara kwa mara ili mtoto afeel your love, zungumza na mtoto wako, muimbie nyimbo nzuri za watoto,msomee hadithi, kua happy muda wote epuka stress na hasira, wamatumbi wana msemo wao "happy mother, happy baby"
Zingatia mlo kamili kwani a healthy child anatokana na chakula bora cha mama, lakini pia uzingatie na diet yako pia usile kama fukufuku na kunenepeana hovyo,
Hongera sana Mama mtarajiwa, nakuombea kheir kwako na kwa mtoto mvuke salama,
NB: Hayo utayakuta kwenye second na third trimester ila kwa sasa msoto lazima.
Basi tupo tofauti baby hamna rangi nilicha ona nika vutiwa na harufu ya chibuku nikawa nakaa pale ubungo Maziwa vi bar kama lisaaa hivi narudi home[emoji1787][emoji1787]Kuna ile kutema mate inaweza kwenda na wewe hadi unaingia leba
Hapo uso haujajaa kama tofali
Ila watoto wa kiume hawatesi kama wa kike
Kama mimba ya boy hupati shida sana
Baby girl sasa daah