Moja: A Akienda Ulaya atatolewa tonge mdomoni.. subiri akichaguliwa uone atakapolipizia muda wa kampeni...
Pili: Haya mambo ya safari la Ulaya na Marekani sijui ni kwanini hayaiburiwi kwenye kampeni za akina Slaa na Lipumba kwa sasa... Inafaa wawaoneshe wananchi kwamba wakati ambako Kikwete hajaenda kula kuku kwa mlija ulaya ni wakati huu tu na wakimchagua wajue kwamba safari zake za matanuzi ndo kwanza fisi kakabidhiwa bucha..
Hawawezi kuelewa, watatea safari za huyo jamaa kwa gharama yeyote.well said PJ,
i am just worried kama yeye na washauri wake wanakuelewa
Dr. Slaa kashasema sana tu!! wewe ndo upo usingizini!Maybe because Slaa and Lipumba understand what those trips have brought for TZ. Ya can't just popularize and politicize everything.
Naendelea kujifunza kuhusu JK!
Kumbe madaraka ni matamu wakuu!
Jamaa amekata ule utalii na safari zote za Merikani na Ulaya alizokuwa anazifanya kila mwezi, ili kutetea nafasi yake ya uprezidaa!....
Kumbe inawezekana kukaa nchini kwa miezi kadha akitembelea vijiji na kata bila kusafiri na kwenda kupanda mabembea!?
Pia ni masikitiko makubwa kwamba huyu mkuu angelikuwa anamaanisha kuwasaidia wananchi kikweli, hizo helikopta alizonunua ili kufanya kampeni angezinunua mapema akiwa rais ili awafikie watu kirahisi na kuwasikiliza!...Mi naona tendo hilo linamfanya aonekane Mbinafsi zaidi, na kwamba hayuko kwaajili ya watanzania, bali kulinda nafasi na ufalme wake kwa gharama ya walipa kodi!!...mwaionaje hii!
Selemani,Maybe because Slaa and Lipumba understand what those trips have brought for TZ. Ya can't just popularize and politicize everything.
Maybe because Slaa and Lipumba understand what those trips have brought for TZ. Ya can't just popularize and politicize everything.
Dr. Slaa kashasema sana tu!! wewe ndo upo usingizini!
Kampeni zikiisha tu itabidi awahi matibabu hata kabla matokeo hayajatoka!!
sema sema paka jimmynaendelea kujifunza kuhusu jk!
kumbe madaraka ni matamu wakuu!
jamaa amekata ule utalii na safari zote za merikani na ulaya alizokuwa anazifanya kila mwezi, ili kutetea nafasi yake ya uprezidaa!....
kumbe inawezekana kukaa nchini kwa miezi kadha akitembelea vijiji na kata bila kusafiri na kwenda kupanda mabembea!?
pia ni masikitiko makubwa kwamba huyu mkuu angelikuwa anamaanisha kuwasaidia wananchi kikweli, hizo helikopta alizonunua ili kufanya kampeni angezinunua mapema akiwa rais ili awafikie watu kirahisi na kuwasikiliza!...mi naona tendo hilo linamfanya aonekane mbinafsi zaidi, na kwamba hayuko kwaajili ya watanzania, bali kulinda nafasi na ufalme wake kwa gharama ya walipa kodi!!...mwaionaje hii!
Naendelea kujifunza kuhusu JK!
Kumbe madaraka ni matamu wakuu!
Jamaa amekata ule utalii na safari zote za Merikani na Ulaya alizokuwa anazifanya kila mwezi, ili kutetea nafasi yake ya uprezidaa!....
Kumbe inawezekana kukaa nchini kwa miezi kadha akitembelea vijiji na kata bila kusafiri na kwenda kupanda mabembea!?
Pia ni masikitiko makubwa kwamba huyu mkuu angelikuwa anamaanisha kuwasaidia wananchi kikweli, hizo helikopta alizonunua ili kufanya kampeni angezinunua mapema akiwa rais ili awafikie watu kirahisi na kuwasikiliza!...Mi naona tendo hilo linamfanya aonekane Mbinafsi zaidi, na kwamba hayuko kwaajili ya watanzania, bali kulinda nafasi na ufalme wake kwa gharama ya walipa kodi!!...mwaionaje hii!
subutuuuuu, wakati makamba alisema yeye ndiyo mtaji wa ccmNaamni amalizi kampeni tutasikia tu, kaondoka kwenda marekani!