Kumbe kidonge chamfanya asiwe na hamu na mwenzie..... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kumbe kidonge chamfanya asiwe na hamu na mwenzie.....

Discussion in 'JF Doctor' started by Rutashubanyuma, Jan 22, 2012.

 1. Rutashubanyuma

  Rutashubanyuma JF-Expert Member

  #1
  Jan 22, 2012
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 157,208
  Likes Received: 414,316
  Trophy Points: 280
 2. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #2
  Jan 22, 2012
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 24,111
  Likes Received: 3,031
  Trophy Points: 280
  yah...
   
 3. Donnie Charlie

  Donnie Charlie JF-Expert Member

  #3
  Jan 22, 2012
  Joined: Sep 16, 2009
  Messages: 6,574
  Likes Received: 840
  Trophy Points: 280
  Nimeisikia kwa watu kama wawili wakilalamikia hii kuwa ukiweka ni sawa na kunywa chai yenye kijiko kimoja cha sukari lakini ukitoa inakuwa vijiko vitatu
   
 4. Rutashubanyuma

  Rutashubanyuma JF-Expert Member

  #4
  Jan 22, 2012
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 157,208
  Likes Received: 414,316
  Trophy Points: 280
  pasua jipu basi.................acha kuhofu.......kama ni kweli thibitisha kama la kanusha.. tujuze
   
 5. Rutashubanyuma

  Rutashubanyuma JF-Expert Member

  #5
  Jan 22, 2012
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 157,208
  Likes Received: 414,316
  Trophy Points: 280
  sijakuelewa.........hamu inazidi au ndiyo inapotea kabisa?
   
 6. Rutashubanyuma

  Rutashubanyuma JF-Expert Member

  #6
  Jan 22, 2012
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 157,208
  Likes Received: 414,316
  Trophy Points: 280
  this sexual life is really dead and buried...........................

  look for yourself....................

  [​IMG]
   
 7. Donnie Charlie

  Donnie Charlie JF-Expert Member

  #7
  Jan 22, 2012
  Joined: Sep 16, 2009
  Messages: 6,574
  Likes Received: 840
  Trophy Points: 280
  wanasema unapotumia vidonge hamu inapungua ndio maana nimefananisha na less sugar na wakati wa tendo lenyewe hawapati ladha halisi kama ambavyo inakuwa hawatumia vidonge au vipandikizi hivi
   
 8. Rutashubanyuma

  Rutashubanyuma JF-Expert Member

  #8
  Jan 22, 2012
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 157,208
  Likes Received: 414,316
  Trophy Points: 280
  shukrani nimeelimika hapo.........
   
 9. TANMO

  TANMO JF-Expert Member

  #9
  Jan 22, 2012
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 8,907
  Likes Received: 203
  Trophy Points: 160
  Alaa, kumbe bana!
   
 10. FirstLady1

  FirstLady1 JF-Expert Member

  #10
  Jan 22, 2012
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 16,575
  Likes Received: 541
  Trophy Points: 280
  ni kweli yaani haya madude yana faida na hasara zake
   
 11. Rutashubanyuma

  Rutashubanyuma JF-Expert Member

  #11
  Jan 22, 2012
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 157,208
  Likes Received: 414,316
  Trophy Points: 280
  kaa mbali na haya madude............
   
 12. Rutashubanyuma

  Rutashubanyuma JF-Expert Member

  #12
  Jan 22, 2012
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 157,208
  Likes Received: 414,316
  Trophy Points: 280
  yakikunyang'anya hamu unatofautiana vipi na yule aliyekeketwa?...........haya madude ni ukeketwaji wa kileo..........
   
 13. King'asti

  King'asti JF-Expert Member

  #13
  Jan 22, 2012
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 27,506
  Likes Received: 2,245
  Trophy Points: 280
  Umeshatoka kanisani mkuu? Ama ndo kutoa ng'ombe zizini siku ya sabatho? This photo looks a bit too much for this forum though
   
 14. Rutashubanyuma

  Rutashubanyuma JF-Expert Member

  #14
  Jan 22, 2012
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 157,208
  Likes Received: 414,316
  Trophy Points: 280
  mbona haionyeshi kitu kabisa.................Sabatho yangu ni kila sekunde ninamtukuza Muumba kwa fikra zangu na matendo yangu.............
   
 15. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #15
  Jan 22, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 301
  Trophy Points: 160
  Hayo madawa hayana maana kabisa
  yana hasara zaidi ya hiyo
  kwa wanaopenda wenzi wao ni marfuku

  afu nashangaa kwa nini hasara kama hizo haziwekwi wazi.
   
 16. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #16
  Jan 22, 2012
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Uzuri ni kwamba madhara hua nayawekwa wazi kabisa. Kinachotakiwa ni watu wawe wanafanya uchunguzi wa kutosha kabla ya kuchagua watumie aina gani ili kuepuka madhara kama haya.
   
 17. Mganga wa Jadi

  Mganga wa Jadi JF-Expert Member

  #17
  Jan 22, 2012
  Joined: Mar 12, 2008
  Messages: 278
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
   
Loading...