Kumbe kelele za wafanyakazi zilikuwa na nguvu ya soda tu?

MwanaHaki

R I P
Oct 17, 2006
2,401
705
Nilitarajia kwamba angalau zile kura 350,000 ambazo ukifanya multiplier-effect unapata kama kura milioni 4 hivi, au zaidi, zingeenda kwa yule aliyesema ANAZIHITAJI!

Imekuwaje tena?
 
Kweli mla njugu husahau lakini mzoa maganda...mmmmh..Marahii washaanza kujifanya hawajui mchakachuo...pambaf!
 
Mjombajona wachekesha sana we hujui mchakachuo ulifanyika????????????????????usijishaue!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!Tangu lini sera ya chama kimoja ikakidhi haja ya vyama vingi????????????????......................................
 
Nilitarajia kwamba angalau zile kura 350,000 ambazo ukifanya multiplier-effect unapata kama kura milioni 4 hivi, au zaidi, zingeenda kwa yule aliyesema ANAZIHITAJI!

Imekuwaje tena?
Mh. Mwanahaki
Pamoja na kuchakachua angalia Kura za Dr.Slaa , Mwanza Mjini, Moshi, Mbeya Mjini, Bukoba Mjini, Arusha mjini, Dar na Iringa Mjini.Utabaini wafanya kazi walimpa. Si unajua kuko ndiyo wafanyakazi wengi waliko. Kwa maana nyingine Jk ni rais wa pembezoni. Town kwa wajanja hakubaliki kabisa.
 
Back
Top Bottom