Kumbe Kangi Lugora na Deo Filikunjombe walikuwa polisi

wanatamani

JF-Expert Member
Apr 10, 2011
415
144
Naomba kujua juu ya hawa jamaa wawili nimesikia mara ya mwisho kangi alikuwa mkuu wa kituo cha magomeni dar es salaam akiwa na rank ya nyota 3
 
Deo baada ya kumaliza degree yake pale makelele Uganda (nadhani alichukua mass com au journalism) akaingia police then akaacha akaenda world vision
 
= Makerere

Hivi huwa hamuoni hata haya kuandika utumbo namna hiyo?
 
Deo baada ya kumaliza degree yake pale makelele Uganda (nadhani alichukua mass com au journalism) akaingia police then akaacha akaenda world vision
Akiwa polisi alikuwa msaidizi maalum wa Aden Mwamunyange.
 
Ukisoma CV ya Lugola utaona vitu kama hivi na utapata jibu la swali lako.
Tanzania Police Force
Head of Police Post (Grade A)
1999 2000 Tanzania Police Force Investigation Officer
1998 1999 Tanzania Police Force Inspector.
 
Wabunge wa ccm wana historia nzuri katika jamii, sio sawa na Wabunge wa chadema na ukawa.

Cdm/ukawa kuna ambao walikuwa majambazi, ma_dj na wenye elimu za kuunga unga.
 
Naomba kujua juu ya hawa jamaa wawili nimesikia mara ya mwisho kangi alikuwa mkuu wa kituo cha magomeni dar es salaam akiwa na rank ya nyota 3

Kangi pia alishakuwa Askari wa uhamiaji na alishakuwa askari wa Bunge na akabebeshwa sana siwa wakati wa kuanza na kumaliza vikao vya Bunge. Ni miongoni mwa Wabunge waliopitia sehemu mbalimbali kabla ya kuingi kwenye siasa.
Ni kama Mizengo Pinda aliyeanza kuwa mlinzi wa Rais Nyerere na Mwinyi na baadaye kujitosa kwenye siasa, Mwakyusa aliyekuwa daktari wa Nyerere. Ni kama Idd Azan aliyekuwa dereva wa taxi.
Ova
 
Wabunge wa ccm wana historia nzuri katika jamii, sio sawa na Wabunge wa chadema na ukawa.

Cdm/ukawa kuna ambao walikuwa majambazi, ma_dj na wenye elimu za kuunga unga.
historia ya ufisadi toka huko na shati lako la kijani
 
Wabunge wa ccm wana historia nzuri katika jamii, sio sawa na Wabunge wa chadema na ukawa.

Cdm/ukawa kuna ambao walikuwa majambazi, ma_dj na wenye elimu za kuunga unga.
Mkuu elimu ni kile unachobaki nacho baada ya shule,elimu sio kuhesabu madarasa..!muhongo,ni profesa ila kakusaidia nn kma sio kukuibia?mkuu education is better than school...
 
Back
Top Bottom