wanatamani
JF-Expert Member
- Apr 10, 2011
- 415
- 144
Naomba kujua juu ya hawa jamaa wawili nimesikia mara ya mwisho kangi alikuwa mkuu wa kituo cha magomeni dar es salaam akiwa na rank ya nyota 3
Deo baada ya kumaliza degree yake pale makelele Uganda (nadhani alichukua mass com au journalism) akaingia police then akaacha akaenda world vision
= Makerere
Hivi huwa hamuoni hata haya kuandika utumbo namna hiyo?
Akiwa polisi alikuwa msaidizi maalum wa Aden Mwamunyange.Deo baada ya kumaliza degree yake pale makelele Uganda (nadhani alichukua mass com au journalism) akaingia police then akaacha akaenda world vision
Akiwa polisi alikuwa msaidizi maalum wa Aden Mwamunyange.
= Makerere
Hivi huwa hamuoni hata haya kuandika utumbo namna hiyo?
= Makerere
Hivi huwa hamuoni hata haya kuandika utumbo namna hiyo?
Naomba kujua juu ya hawa jamaa wawili nimesikia mara ya mwisho kangi alikuwa mkuu wa kituo cha magomeni dar es salaam akiwa na rank ya nyota 3
Naomba kujua juu ya hawa jamaa wawili nimesikia mara ya mwisho kangi alikuwa mkuu wa kituo cha magomeni dar es salaam akiwa na rank ya nyota 3
historia ya ufisadi toka huko na shati lako la kijaniWabunge wa ccm wana historia nzuri katika jamii, sio sawa na Wabunge wa chadema na ukawa.
Cdm/ukawa kuna ambao walikuwa majambazi, ma_dj na wenye elimu za kuunga unga.
Mkuu elimu ni kile unachobaki nacho baada ya shule,elimu sio kuhesabu madarasa..!muhongo,ni profesa ila kakusaidia nn kma sio kukuibia?mkuu education is better than school...Wabunge wa ccm wana historia nzuri katika jamii, sio sawa na Wabunge wa chadema na ukawa.
Cdm/ukawa kuna ambao walikuwa majambazi, ma_dj na wenye elimu za kuunga unga.