Kumbe Jumatatu ni sikukuu pia!!


Behaviourist

Behaviourist

JF-Expert Member
Joined
Apr 8, 2016
Messages
17,959
Points
2,000
Behaviourist

Behaviourist

JF-Expert Member
Joined Apr 8, 2016
17,959 2,000
Aliesema jumatatu ni maulidi ni nani?....Maulidi inategemea mwezi utaandama lini!
 
BAFA

BAFA

JF-Expert Member
Joined
Jul 19, 2011
Messages
2,977
Points
2,000
BAFA

BAFA

JF-Expert Member
Joined Jul 19, 2011
2,977 2,000
Daahh sasa sisi wapiga dili na sikukuu ndefu hii situnaumia sanaa hahhaha
 
muhomakilo jr

muhomakilo jr

JF-Expert Member
Joined
Jul 28, 2013
Messages
10,758
Points
2,000
muhomakilo jr

muhomakilo jr

JF-Expert Member
Joined Jul 28, 2013
10,758 2,000
Siku 4 na huu mchacho ni balaa..
 
Blank page

Blank page

JF-Expert Member
Joined
May 28, 2015
Messages
4,128
Points
2,000
Blank page

Blank page

JF-Expert Member
Joined May 28, 2015
4,128 2,000
aseee mwenyew nlikuwa natamani san kuuliza swali kam hili,maana sikuwa na uhakika na watu wavokuwa wanasem,a...asante san mkuu.umeniwakilisha vema mawazo yangu.
 
Himawari

Himawari

JF-Expert Member
Joined
Aug 21, 2008
Messages
2,323
Points
2,000
Himawari

Himawari

JF-Expert Member
Joined Aug 21, 2008
2,323 2,000
Shelk mkuu alishatangaza kuwa ni mapumziko, watanzania tulivyo wavivu wa kufanya kazi tumefurahia sana siku nne bila ofisi za umma kufunguliwa, hatari sana.
Hahaaa, wanaenda kufungua ofisi zao binafsi!
 
B

Babati

JF-Expert Member
Joined
Aug 7, 2014
Messages
31,760
Points
2,000
Age
34
B

Babati

JF-Expert Member
Joined Aug 7, 2014
31,760 2,000
Mkuu!
Uandishi wako unatufanya tuchoke mapema kusoma. Utadhani unaandika meseji kwa shemeji co=sio, baiskel=baiskeli, miez=miezi, utajfunza=utajifunza
Hata mimi nimepata tabu kidogo
 
Mwanamayu

Mwanamayu

JF-Expert Member
Joined
May 7, 2010
Messages
8,613
Points
2,000
Mwanamayu

Mwanamayu

JF-Expert Member
Joined May 7, 2010
8,613 2,000
Siku 4 na huu mchacho ni balaa..
Kwa kawaida huwa balaa kwa wapiga deal kwani kwa sasa ICT imeondoa lile tatizo la benki kufungwa na zingine zinafungua muda mchache siku za mapumziko.
 
King Kong III

King Kong III

JF-Expert Member
Joined
Oct 15, 2010
Messages
33,133
Points
2,000
King Kong III

King Kong III

JF-Expert Member
Joined Oct 15, 2010
33,133 2,000
Kwa sie wakata mkaa hatuna sikukuu, er day kazi kazi.
 
idawa

idawa

JF-Expert Member
Joined
Jan 20, 2012
Messages
21,723
Points
2,000
idawa

idawa

JF-Expert Member
Joined Jan 20, 2012
21,723 2,000

Forum statistics

Threads 1,283,460
Members 493,707
Posts 30,790,190
Top