Kumbe Jumatatu ni sikukuu pia!!

BAFA

JF-Expert Member
Jul 19, 2011
3,070
2,000
Wakuuu hebu tujuzane j3 ni public holiday nimesikia hapa ni maulid day
 
Babati

JF-Expert Member
Aug 7, 2014
32,091
2,000
Shelk mkuu alishatangaza kuwa ni mapumziko, watanzania tulivyo wavivu wa kufanya kazi tumefurahia sana siku nne bila ofisi za umma kufunguliwa, hatari sana.
 
Jamry

Senior Member
Dec 9, 2016
115
225
Shelk mkuu alishatangaza kuwa ni mapumziko, watanzania tulivyo wavivu wa kufanya kazi tumefurahia sana siku nne bila ofisi za umma kufunguliwa, hatari sana.
Tatzo co wavvu hata posho na mishaara haij kwa wakat utaifurahia kaz yako kwel
 
Babati

JF-Expert Member
Aug 7, 2014
32,091
2,000
Mishahara inatoka kati ya tarehe 21-25 ya kila mwezi, posho sijui kwa kweli.
 
Mshana Jr

Platinum Member
Aug 19, 2012
138,742
2,000
Shelk mkuu alishatangaza kuwa ni mapumziko, watanzania tulivyo wavivu wa kufanya kazi tumefurahia sana siku nne bila ofisi za umma kufunguliwa, hatari sana.
Sio wote wengine ndio tunatoka kazini muda huu
 
Babati

JF-Expert Member
Aug 7, 2014
32,091
2,000
we nae sijui unatatizo gani,mbona unajipa kazi ngumu sana yaani mtu akicomment unaanza kumchunguza?ina maana unatufahamu wote humu?au unatafuta kuona kama member mpya ni ke uanze mitongozo?
Haya bwana, ngoja nianze kutongoza mkuu.
 
Top Bottom