Kumbe janja yao!

LUGWA

JF-Expert Member
Dec 26, 2013
959
467
FB_IMG_1521137844485.jpeg
 
Bila Shaka wamefanikiwa kwa kiasi kikubwa
Mkakati ni wa muda mrefu sana. Hapo alikuwa akitoa taarifa, je alitumwa lini? Alizunguka kwa muda gani?
Hata Trump alipotamka kwamba Africa lazima itawaliwe upya hakukurupuka tu. Na aliposema Africa ni Shitholes Countries haikuwa kwa bahati mbaya.
Na ukiangalia hata sisi wenyewe tunavyobehave inawapa mwanya.

Sent from my TECNO-Y6 using JamiiForums mobile app
 
Bwana Kilanga umeongea ukweli kabisa
 
Tatizo ni sisi wenyewe miaka hamsini na ya uhuru hatujashtuka bado! Viongozi ndio wamelala kabisaa!
 
Back
Top Bottom