Kumbe jamii forums ya ukweli hivi! Nahisi ntainjoi sana jf mkinikaribisha

Hivi punde nimeona sehemu hili jina MWAKISUMUSYA ANYELWISYE TULWEMO huyu ni mkazi wa Dar es salaam
 
Nawasalimu kwa jina la bwana na mungu anisaidie kuongea ukweli katika kuchangia mada ndani ya jf
Be it Mwafongo OR Jafongo you are welcome.....................Ila jiangalie, maana isije ikawa ulishawahi kuumwa "MALERIA SUGU" na mpaka ukawa unajiona "GENIUSBRAIN" katika kuchamgia mada. Maana ukiumwa sana "MALERIA SUGU" hukawii kwenda kujilalamisha kwenye magazeti...........
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom