MENEMENE TEKERI NA PERESI JF-Expert Member Joined Mar 11, 2022 Posts 8,259 Reaction score 22,051 Mar 17, 2026 #21 multiple said: Nyie ndio wachawi wa kukazia hukumu mara kwa mara mnakujaga Click to expand... Mike ,kwani wewe usharudi Tanzania ? Mwenzio niko mbali sana huku ujerumani na sitaki kabisa kurudi Tanzania
multiple said: Nyie ndio wachawi wa kukazia hukumu mara kwa mara mnakujaga Click to expand... Mike ,kwani wewe usharudi Tanzania ? Mwenzio niko mbali sana huku ujerumani na sitaki kabisa kurudi Tanzania
Nyota yangu Member Joined Feb 22, 2026 Posts 67 Reaction score 147 Mar 17, 2026 #22 Traxtion said: Chrome Click to expand... Nimegundua hawa Jf wana domain 2 ya dot-com na dot-io Wakielekeza traffic kwenye dot-io wanapatikana bila VPN ingawa nayo baada ya muda fulani inakuwa locked Namna rahisi ni kutumia Operamin browser ambayo ina internal built in VPN Pia nina uhakika siku za mbeleni serikali wataiachia ipatikane bila VPN kwa sasa wanasubiri watu uchungu uwaishe wa mo29
Traxtion said: Chrome Click to expand... Nimegundua hawa Jf wana domain 2 ya dot-com na dot-io Wakielekeza traffic kwenye dot-io wanapatikana bila VPN ingawa nayo baada ya muda fulani inakuwa locked Namna rahisi ni kutumia Operamin browser ambayo ina internal built in VPN Pia nina uhakika siku za mbeleni serikali wataiachia ipatikane bila VPN kwa sasa wanasubiri watu uchungu uwaishe wa mo29
multiple JF-Expert Member Joined Feb 14, 2016 Posts 596 Reaction score 1,167 Mar 17, 2026 #23 MENEMENE TEKERI NA PERESI said: Mike ,kwani wewe usharudi Tanzania ? Mwenzio niko mbali sana huku ujerumani na sitaki kabisa kurudi Tanzania Click to expand... Nimekuja kula idd na familia mike mike .
MENEMENE TEKERI NA PERESI said: Mike ,kwani wewe usharudi Tanzania ? Mwenzio niko mbali sana huku ujerumani na sitaki kabisa kurudi Tanzania Click to expand... Nimekuja kula idd na familia mike mike .
MENEMENE TEKERI NA PERESI JF-Expert Member Joined Mar 11, 2022 Posts 8,259 Reaction score 22,051 Mar 17, 2026 #24 multiple said: Nimekuja kula idd na familia mike mike . Click to expand... Wazi mkuu
Killing machine JF-Expert Member Joined Jul 24, 2022 Posts 2,374 Reaction score 3,392 Mar 17, 2026 #25 Bado ime fungwa mkuu utanitumia hivyo Kwa mda Kisha itakuja Kumladhi Kuna changamoto imetokea๐๐๐
Bado ime fungwa mkuu utanitumia hivyo Kwa mda Kisha itakuja Kumladhi Kuna changamoto imetokea๐๐๐
Traxtion JF-Expert Member Joined Dec 10, 2021 Posts 5,956 Reaction score 11,960 Mar 17, 2026 Thread starter #26 Killing machine said: Bado ime fungwa mkuu utanitumia hivyo Kwa mda Kisha itakuja Kumladhi Kuna changamoto imetokea๐๐๐ Click to expand... Kweli mkuu wamefunga tena ๐
Killing machine said: Bado ime fungwa mkuu utanitumia hivyo Kwa mda Kisha itakuja Kumladhi Kuna changamoto imetokea๐๐๐ Click to expand... Kweli mkuu wamefunga tena ๐