kumbe inshu ya maroboti ya kusifia kwenye mitandao ya kijamii ni kweli

Mlalamikaji daily

JF-Expert Member
Joined
May 19, 2014
Posts
997
Reaction score
2,320
Hii inshu ni halisi wakuu, leo wakati napitia kwenye chombo kimoja cha habari nilikutana na habari ya mkuu wa mkoa wa Dar akitoa taarifa ya zawadi ya IDD ya mama basi nikajaribu kupitia comment zile za kupongeza tu.. nikaona mambo ya ajabu sana!

1. Profile zote zimeshare content moja

2. Profile nyingi hazina picha halisi,

Aisee kama kuna mtu alikuwa anabisha nashauri fanya utafiti kama wangu utaona ni wapi kama nchi tumefikia!

Hivi wanalipa kwa comment, kwa siku, wiki au kwa mwezi au wanalipa kwa profile? anayejua wakuu

Tupeane connection
 
Mkuu Lumumba buku 7 is real.
downloadfile-270.png
 
Zipo robot za likes, views na comment piaa. Na comment ziko mchakanyiko hasa hasa imoji.
Kwenye gharama unalipia kwa comment na prices zinatofautiana
 
niko serious kwa yeyote anayehusika anipe kazi.. elfu 7 kwa siku sio haba kama ni comment tano mpaka saba kwa siku.. mimi ni mzuri nikitokea pembeni
 
Hii inshu ni halisi wakuu, leo wakati napitia kwenye chombo kimoja cha habari nilikutana na habari ya mkuu wa mkoa wa Dar akitoa taarifa ya zawadi ya IDD ya mama basi nikajaribu kupitia comment zile za kupongeza tu.. nikaona mambo ya ajabu sana!

1. Profile zote zimeshare content moja

2. Profile nyingi hazina picha halisi,

Aisee kama kuna mtu alikuwa anabisha nashauri fanya utafiti kama wangu utaona ni wapi kama nchi tumefikia!

Hivi wanalipa kwa comment, kwa siku, wiki au kwa mwezi au wanalipa kwa profile? anayejua wakuu

Tupeane connection
Na wewe ni roboti la kupingapinga? Basi sawa.
 
IMG-20260320-WA0040.jpg
 
Back
Top Bottom