No matter how much i try,nashindwa kuamini suala la prof. kupewa hongo.Nadhani ni maamuz na dhamira kama alivyosema,sio kama yule aliyepewa data na pesa za kula mihogo(Dr.Slaa).Nadhani baraza la mawaziri litawajumuisha LIPUMBA,MAGUFULI.
Alikuwa zuga kwa nani sasa? Ujue tatizo watu hupigania maslahi ya viongozi wao bila kujua halafu wanaambiwa hayo ndiyo matakwa yao,kwa stairi hii kila siku tutawaona watu wasaliti.