happiness win
JF-Expert Member
- Aug 30, 2011
- 2,461
- 1,394
...haya maunga yametuharibia nchi kweli, maana watu hata ada za nursary schools mamilioni, watu wanalipa tu kama mchezo looh...
Na kama hali ikiwa taiti ndani ya miaka 2, hutaona ghorofa zinaota kama uyoga na magari ya kifahali yanapungua barabarani! Maduka makubwa ya kuzuguia yatafungwa na watu waliokuwa wanajiita mapededjee wanafilisika. Naomba Mungu hali iwe taiti zaidi ili rangi halisi za watu zijulikane.
Hapo sasa. Kila kitu kimekuwa upside down, left and right. We jiulize, mtu anapata wapi taslimu ya kunua nyumba ya milioni 1000 kwa mkupuo mmoja. Ndio bongo hiiYametuharibia sana. Wengine tulibaki wanyonge tu, hata ukilalamika ada imezidi hakuna anayekusapoti, we lalama wenzio wanalipa tu bila kelele
Nafurahi kuona mmewagundua kuwa ni wauza unga na sio FREEMASON kama muwaitavyo kitaani. maana ilijengeka dhana kwamba kila aliyepata utajiri kwa muda mfupi, basi jibu rahisi ni FREEMASON.
HAKUNA FREEMASON bongo wote ni WAFANYA BIASHARA YA DAWA ZA KULEVYA.
Hapo sasa. Kila kitu kimekuwa upside down, left and right. We jiulize, mtu anapata wapi taslimu ya kunua nyumba ya milioni 1000 kwa mkupuo mmoja. Ndio bongo hii
Kinachoniuma mimi zaidi ni jinsi Watanzania tunavyopekuliwa kama majambazi sugu pale tunapojulikana kwamba sisi ni Watanzania. Image ya nchi na raia wake kwa kweli imekuwa chafu kupita kiasi. Mtu mpaka unafika mahali unaogopa kujitaja kwamba wewe ni Mtanzania. Laiti JK angekuwa proactive na kuchukua hatua mapema pale alipopewa majina inawezekana hali isingekuwa hivi kwa sasa.
Hope hii vita itafanikiwa ili kuisadia kurudisha heshima ya nchi na watu wake.
Tiba
Mi natabiri,baada ya muda tutawaona waliokuwa wauza unga wanaanza kuokota chupa za plastiki mitaani.hihihihi...
Na kama hali ikiwa taiti ndani ya miaka 2, hutaona ghorofa zinaota kama uyoga na magari ya kifahali yanapungua barabarani! Maduka makubwa ya kuzuguia yatafungwa na watu waliokuwa wanajiita mapededjee wanafilisika. Naomba Mungu hali iwe taiti zaidi ili rangi halisi za watu zijulikane.
Mi natabiri,baada ya muda tutawaona waliokuwa wauza unga wanaanza kuokota chupa za plastiki mitaani.hihihihi...
Hapa ni kweli i wish and we wish things could be that way BUT huu ni upepo unapita. Wataendelea kuuza na wataendelea kutesa mpaka utawala ubadilike. JK hana historia ya kushughulikia masuala nyeti kama haya na ndio maana wakati mwingine huwa tunasema na yeye ni mshiriki. Hayawahi kumwajibisha mtu yeyote kina Jairo wapo wanapeta regardless ushahidi ulioonekana yaani ni balaaaaaaaa.Siku nyingi nilikuwa najiuliza hawa Watanzania wenzangu wanapata wapi pesa za kutesa namna hii? Nilikuwa nashangaa nikitoka out usiku nikiwa nimejidundulizia vipesa vya mtoko kwa zaidi ya miezi sita tena kwa kujibana ajabu, cha kushangaza naenda kujionea jinsi watu wanavyojirusha kwa ufahari wa hali ya juu. Matumizi yao ni kufuru, magari waliyopaki nje ya kumbi za starehe ni ya gharama nisiyoweza kuifikiria! Bei ya mavazi waliyovaa ndio usiseme. Nikifikiria elimu ya watoto wangu, uwiii nachanganyikiwa! mbona wa TZ wenzangu wanapeleka watoto wao kwenye mashule ya gharama ambazo mimi niliziona kama kufuru! mmmh kwani hawa wenzangu wanapata wapi hayo manoti yote? mbona mie siyapati? kama ni mshahara huu huu tena kuna wengine nawazidi mshahara, kama ni bajeti; sidhani kuna anayenifikia kwa kujua kubana matumizi. Kama ni biashara ... mmmh sijaona ya kuwafanya watu wawe hivi... sana sana naona mabutiki yanafunguliwa tuuuuuu na hayana wateja... mashoo room yamesambaaa kila kona sioni wanunuzi, labda biashara ya mabar na glossary naweza sema yanalipa. sasa inakuwaje? Loooh nimeanza kufunguka sasa kumbe wengi wao walikuwa wanashiriki kwa namna moja au nyingine kwenye hii biashara ya DAWA! Biashara iliyopandisha maisha ya Watz kuwa ya juu na kutengeneza matabaka maana imetufanya wengine tuonekane kama hatujui kutafuta pesa na hatujui mipango... Looo umefika wakati wao wa kuumbuka sasa.... naanza kuona dalili za kukosekana kwa wateja kwenye mabaa na maclub, magari ya kifahari kupungua barabarani, makanisani, masherehe na sehemu mbalimbali za starehe! mmmmmm naendelea kusikilizia majina yanayotajwa huko kwenye ushiriki wa madawa! mboni mambo!! masikio yanaanza kuwasha maana tutasikia hata tusiyoyatarajia.....WaTz kiboko! hadi mnakodi meli??? du kumbe nchi hii imeshaoza eeeeeeeh! Ona hospitali zinavyojaa waathirika wa madawa, cheki vituoni ujionee mateja yanavyonesa ..... balaa hili. EEE MUNGU WAUMBUE WOTE NA BIASHARA HII IFE KIFO CHA MENDE, WATOTO WETU WAPONE; AMENI.