Kumbe Hela zilizofichwa ndiyo hizi

Kwani Kuna Kitu cha kununua Tsh 1. Tsh 2 na Tsh 5?
Hapo ndiyo tatizo lilipo. Kwa nini kisiwepo kitu cha kununua kwa hela hizo? Kama kuna senti tano, kumi, Ishirini, Hamsini, Shilingi moja, Shilingi tano, shilingi kumi na Ishirini kwa nini vitu vya kununuliwa kwa hela hizo visiwepo. Sasa hizo hela zinazalishwa kwa ajili ya kuzifanyia maonesho?
 
Hapo ndiyo tatizo lilipo. Kwa nini kisiwepoa kitu cha kununua kwa hela hizo? Kama kuna senti tano, kumi, Ishirini, Hamsini, Shilingi moja, Shilingi tano, shilingi kumi na Ishirini kwa nini vitu vya kununuliwa kwa hela hizo visiwepo. Sasa hizo hela zinazalishwa kwa ajili ya kuzifanyia maonesho?
Labda tusubiri uchumi wa viwanda maana mpaka sasa tunaviwanda vya kutosha tusiwe na haraka wala papara.
 
Mkuu za masiku nilimis nondo zako...

OVA
Iliposemwa kuwa kuna watu wameficha hela, watu walipinga sana (Mimi nikiwa mmojawapo) lakini sasa imedhihiri kwamba Noti na Sarafu za shilingi mia tano tano (Jero) hazipo kwa wingi wa kutosha mitaani na bila shaka kuna watu wamezificha kwa faida yao binafsi, na hao ndiyo wa kushughulikiwa.

Kuna watu wameficha mia tano tano!!
 
Tanzania ni nchi ya ajabu
Hakuna shilingi 20 wala 5 wala shilingi 2 na 1 coins

Euro wana 1 euro, 50 pence, 20 pence 10 pence, 5 pence, 2 na 1 pence hizi zote ni coins

Pounds vile vile.

Sasa hizi coins zimeenda wapi? Mbona haziko kwenye mzunguko? BOT wameficha.

Halafu bot waondoe msongamano wa pesa,Kwa mfano dola 100 iwe kwetu shilingi mia 220, pesa yetu ipewe thamani, badala ya kuwa na malaki ambayo yasio kuwa chochote.
Mbona senti 5 zipo na value yake bado ileile, kama unazihitaji nenda benki na milioni yako uombe chenji ya centi tano tano utapata ila uwe na pick up.
 
Kwani Kuna Kitu cha kununua Tsh 1. Tsh 2 na Tsh 5?

RGforever;
Mbona mnamkandia sana mleta hoja jamani? Nilienda bank kuuliza salio langu wakaniandikia kuwa pia nina cent 44. sasa kama hizo hazina kazi, waliziandika za nini?? Nikitaka kuzitoa humo nifanyeie?? Ukiuza kiberiti utauza shs ngapi?? Au mnahalalisha sasa kuwa kiwango cha chini cha malipo yeyote ni buku??
 
Iliposemwa kuwa kuna watu wameficha hela, watu walipinga sana (Mimi nikiwa mmojawapo) lakini sasa imedhihiri kwamba Noti na Sarafu za shilingi mia tano tano (Jero) hazipo kwa wingi wa kutosha mitaani na bila shaka kuna watu wamezificha kwa faida yao binafsi, na hao ndiyo wa kushughulikiwa.

Kuna watu wameficha mia tano tano!!
ngoja niongeze moja nikalale
 
Hizo coin sasa hivi zinaonekana kwa wingi... mwanzo zilipotea kabisa..
 
1480610211944.jpg
 
Hata hizo sarafu za mia tano tano nazo haziko kwa wingi wa kutosha. Mimi nauza Peremende kwa ivo najua shida ya kupata chenji ya elfu moja kwani hizo Jero jero kuzipata imeshakuwa mtihani.
Allen katika ubora wako. Ulipotea mzee au na wewe upo ziarani mikoani. Manake sasa hivi sera ni tunaimarisha chama
 
kutapatapa kwa lipi sasa. Mimi nauza Peremende mtu akitoa Elfu moja namwangalia kama vile nimepigwa "Disco" UDOM maana kupata chenji ya elfu moja imeshakuwa ni mtihani!!
Hivi huwezi kucoment bila kuanza ukorofi au unataka na udom iwekewe ****
 
Allen katika ubora wako. Ulipotea mzee au na wewe upo ziarani mikoani. Manake sasa hivi sera ni tunaimarisha chama
Nipo mkuu ila jamaa yenu kasababisha kati ya kununua kifurushi cha Intaneti na kula kwa mama ntilie iwe ni kitendawili kinachotumia lugha tata!!
 
Kwenye masuala ya hela utakuwa na uelewa wa 1980.
Sio uwelewa ni kuipa value shilingi, nipe uwelewa wako wa 2016

Kule Zimbabwe wametoa note ya dola karibu thamani ya dola ya America, lakini wananchi wanaikataa kwa sababu nchi ina vikwazo, siku hadi siku uchumi kuporomoka
 
Mkuu sijakuelewa yaani dola 100 iwe sh 220 ? Kwa hiyo kupandisha thamani ya pesa yetu ni kuchapisha tu pesa na kuweka viwango kama hivyo vya 220 ?
Tunapo ongelea kuchange thamani ya pesa, ni account yote ya fedha za Tanzania kufanyiwa marekebisho ya value.
 
Back
Top Bottom