Kumbe hata bila ya Mawaziri Nchi inaenda

kwani kuchelewa kuteuliwa kwao ni mpango madhubuti wa kuokoa fedha za kuwalipa huku akiwachunguza kwa makini
 
Tanzania ni ya watanzania hata kama watanzania wenyewe ni mbumbumbu na wakora. Ndo maana tunasema katiba ambayo inampa nguvu kubwa Rais ya kuweza hata kuendesha nchi bila kuwa na mawaziri haitufai kabisa. Nguvu hizi ni kubwa sana hasa mkimpata kiongozi asiyekuwa na maadili.

Tunaomba baraza la mawaziri litangazwe haraka na mchakato wa katiba uanze mara moja. Tuna bahati kuwa Rais Magufuli ni mzalendo mwenye uchungu na nchi yake na wananchi wake, lakini ipo siku tutakujakupata hasara kubwa wote kwa kutumia katiba hii ya sasa.

Tutengeneze katiba ambayo rais anaelekezwa nini cha kufanya na nini asifanye.

Mawaziri ni muhimu kwa mujibu wa utawala bora.

Nnawasiwasi nawew
 
Hata Rais Mohamed Buhari wa Nigeria alitangaza baraza lake la mawaziri baada ya miezi 3 baada ya kuchaguliwa.
Kwa hiyo hakuna cha ajabu kwa Rais Magufuli kutotangaza baraza lake la mawaziri hadi leo, ambapo ni takribani mwezi mmoja tu tokea aapishwe kuwa Rais.
Na kwa bahati nzuri sana hata Katiba yetu haijaweka time limit ya Rais kuteua baraza lake la mawaziri bali imeweka time limit ya kumteua Waziri Mkuu ambapo ni siku 14 tokea kuapishwa kwa President.
Namshauri Magufuli aendelee tu kuchapa kazi na Waziri Mkuu wake Kassim Majaliwa pamoja na Makatibu wakuu wa wizara, ambapo hiyo ni timu tosha ya ushindi.
Kuteua baraza la mawaziri hivi sasa ataharibu formation ya game na 'move' nzuri ya kuelekea kwenye ushindi dhidi ya timu 'pinzani' ya mafisadi.
Yeye Magufuli asubiri imebaki kama mwezi mmoja tu kabla ya bunge la bajeti ndipo ateue baraza lake la mawaziri ili wakafanye kazi 'nyepesi' wanayoimudu ya kwenda kusoma bajeti bungeni!
 
WANAJAMVI naomba kuuliza hivi Waingereza ambao ndiyo waliyotutawala wana KATIBA?
 
Baraza la mawaziri la JK lilichelewa kuvunjwa so !Magu anafidia hasara ya hiyo mishahara ya mawaziri kipindi cha JK!
 
Na huu ndiyo Ujinga mkubwa tulio nao Waafrika wengi, kwani unafikiri Katiba ni nini? Si karatasi tu, sasa unafikiri Karatasi inawezaje kumzuia mtu mbaya kufanya mabaya?

Wakenya wana Katiba mpya, ambayo imezuia yote hayo na kupunguza madaraka ya Raisi, sasa imewasaidia nini? Angalia wanavyolia sasa hivi na wizi na rushwa iliyopitiliza, upendeleo watu wanapewa vyeo na kulindwa kwa kuwa tu wanaukaribu na Raisi sasa hiyo Katiba imesaidia nini?

Acheni Ujinga Waafrika, cha muhimu ni kupigania kuondoa umaskini kwanza kwa kuwekeza kwenye Elimu tukifanikiwa hapo mengine yote yatafuatia yenyewe tu, watu walioeleimika na wasio masikini hawawezi kuchagua kiongozi mbaya kuwaongoza lkn kama watu wanabakia kuwa masikini na hawana Elimu hata ukichukuwa Katiba ya Japani au sijui Kanada bado Raisi kama ni mbaya ataharibu tu nchi kwa kuikandamiza katiba hiyo hiyo!

Wewe ni moja wa mamilioni mbumbumbu ktk Tz, km hujui umuhimu wa katiba bora na huoni tofauti ya kenya na Tz nenda kajifunze kwanini walioendelea waliendelea
 
Kenya imeeendelea kuliko TanZania kabla hata ya kuwa na hiyo katiba mpya, Kenya ni tajiri klk TanZania tangu enzi ya Moi wakati wana Chama kimoja hivyo usitake kupotosha kwamba Kenya imeendelea klk TanZania kwa sababu ya Katiba mpya hata kama Kenya wasingebadilisha Katiba bado wangekuwa matajiri klk TanZania!!

Isitoshe Kenya wameandika Katiba mpya kwa sababu kulikuwa na vita sasa sisi kwetu kuna vita gani mpaka tuhitaji Katiba mpya? ili iwe nini? Ni nchi gani Dunia hii uliona watu wanaandika Katiba mpya hivi hivi tu bila ya sababu?

Sisi tunapaswa kuboresha tu kama kuna ulazima lkn siyo kuandika mpya kabisa huwo ni ujinga na upotevu wa fedha ambazo tungeweza kuzitumia kwenye mambo mengine ya kimaendeleo kama Elimu, Afya, chakula n.k

Katiba ni karatasi tu ambayo kamwe haiwezi kuifanya nchi iendelee kiuchumi, nchi zinaendela siyo kwa sababu ya Katiba bali kwa sababu ya utamaduni wa watu wenyewe!
 
Tanzania ni ya watanzania hata kama watanzania wenyewe ni mbumbumbu na wakora. Ndo maana tunasema katiba ambayo inampa nguvu kubwa Rais ya kuweza hata kuendesha nchi bila kuwa na mawaziri haitufai kabisa. Nguvu hizi ni kubwa sana hasa mkimpata kiongozi asiyekuwa na maadili.

Tunaomba baraza la mawaziri litangazwe haraka na mchakato wa katiba uanze mara moja. Tuna bahati kuwa Rais Magufuli ni mzalendo mwenye uchungu na nchi yake na wananchi wake, lakini ipo siku tutakujakupata hasara kubwa wote kwa kutumia katiba hii ya sasa.

Tutengeneze katiba ambayo rais anaelekezwa nini cha kufanya na nini asifanye.

Mawaziri ni muhimu kwa mujibu wa utawala bora.

Inawezekana wewe ni miongoni mwa waliovamia jukwaa!! Shame!
 
mawazo yako yana mashiko lakini watu wa ndio hawatakuelewa maana kwao kila kitu ni ndioo!!!! tu,ili mradi kimesemwa na Rais hata angechagua siku ya pili kuapishwa wangemsifu ameanza kazi kwa speed kama wanavyosema sasa, hapo hawakuambii afanye kwanza utafiti wa kutosha si rahisi kuwaelimisha watu wa ndiooo!!!!!! wakakuelewa hata walipokuwa wanaambiwa serikali dhaifu walikuwa wanabisha wao kwao ni ndiooo!!!!tu,ili mradi kimesemwa na rais, tumefutiwa sherehe ya Uhuru wetu wao ni ndiooo!!!!!tu, watu wanyonge wanafukuzwa na kuvunjiwa nyumba zao et wamejenga kwenye mbuga za wanyama wakati kuna wageni wameuziwa mbuga za wanyama na wamejenga majumba ya ajabu huko,wao ni ndiooo!!!!tu, sasa maajabu tutakuja kuyasikia bunge litakapoaanza maana watu wa ndiooo!!!!! wameongezeka
 
Mawaziri ni kwa mujibu wa sheria za nchi au kwa mwenye mamlaka kuamua tu wawepo au wasiwepo?
 
Sio haki bali mahitaji ya kikatiba!

Tanzania ni ya watanzania hata kama watanzania wenyewe ni mbumbumbu na wakora. Ndo maana tunasema katiba ambayo inampa nguvu kubwa Rais ya kuweza hata kuendesha nchi bila kuwa na mawaziri haitufai kabisa. Nguvu hizi ni kubwa sana hasa mkimpata kiongozi asiyekuwa na maadili.

Tunaomba baraza la mawaziri litangazwe haraka na mchakato wa katiba uanze mara moja. Tuna bahati kuwa Rais Magufuli ni mzalendo mwenye uchungu na nchi yake na wananchi wake, lakini ipo siku tutakujakupata hasara kubwa wote kwa kutumia katiba hii ya sasa.

Tutengeneze katiba ambayo rais anaelekezwa nini cha kufanya na nini asifanye.

Mawaziri ni muhimu kwa mujibu wa utawala bora.
 
Sijaona ni wapi Serikali ya JPM imesema kuwa haitambui uwepo wa Mawaziri. Mawaziri watakuwepo kwa mujibu wa katiba. Hivi tungefurahi leo kusikia baada ya kuapishwa tu ateuwe baraza na mawaziri halafu kwa hizi kasheshe za bandari na TRA unasikia na waziri naye ameondoka kwa kuwa tu ufuatiliaji umefanywa na Waziri Mkuu na Ikulu kubaini madudu? nadhani anachofanya ni sawa ili watakao teuliwa wakiingia hakuna kusema haya ni makosa ya nyuma kila mtu atawajibika kwa makosa yake ya wakati huo. Pili ameweza kutoa mwelekeo wa Serikali anayotaka na namna anavyotaka iendeshwe. I support him kuchukua muda kuunda baraza lake. Haya mambo ya kuambizana uwe makini na uteuzi au tangaza haraka hayana maana kabisa. Tunataka kuaharibu kasi aliyoanza nayo. Magufuli endelea na kasi hiyo na uadilifu uwe ndiyo msingi wa kuteua mawaziri siyo ukanda, udini na kujuana.
 
Katiba ni karatasi??

Hata mm nimeshangaa kwa kweli,

Amesahau kwamba kuna aina mbili za constitution Written and Unwritten constitution.

Yaani jamaa anajibu kindezi, amakweli BRN inatupeleka siko.
 
Na huu ndiyo Ujinga mkubwa tulio nao Waafrika wengi, kwani unafikiri Katiba ni nini? Si karatasi tu, sasa unafikiri Karatasi inawezaje kumzuia mtu mbaya kufanya mabaya?

Wakenya wana Katiba mpya, ambayo imezuia yote hayo na kupunguza madaraka ya Raisi, sasa imewasaidia nini? Angalia wanavyolia sasa hivi na wizi na rushwa iliyopitiliza, upendeleo watu wanapewa vyeo na kulindwa kwa kuwa tu wanaukaribu na Raisi sasa hiyo Katiba imesaidia nini?

Acheni Ujinga Waafrika, cha muhimu ni kupigania kuondoa umaskini kwanza kwa kuwekeza kwenye Elimu tukifanikiwa hapo mengine yote yatafuatia yenyewe tu, watu walioeleimika na wasio masikini hawawezi kuchagua kiongozi mbaya kuwaongoza lkn kama watu wanabakia kuwa masikini na hawana Elimu hata ukichukuwa Katiba ya Japani au sijui Kanada bado Raisi kama ni mbaya ataharibu tu nchi kwa kuikandamiza katiba hiyo hiyo!

Asante kiongozi mwenye akili kaelewa
 
Asante kiongozi mwenye akili kaelewa, watu wanadhani ikishapatikana nchi itaendeshwa na remote, sio viongozi
 
Back
Top Bottom