Kumbe hata bila ya Mawaziri Nchi inaenda

Kumbe hata bila ya Mawaziri Nchi inaenda

Bado jipu la mgogoro wa zanzibar ,amfukuze ndugu aliyefuta matokeo na kutia hasara taifa
 
Constitution Definition:
The basic, fundamental law of a state which sets out how that state will be organized and the powers and authorities of government between different political units and citizens.
 
kwani kuchelewa kuteuliwa kwao ni mpango madhubuti wa kuokoa fedha za kuwalipa huku akiwachunguza kwa makini

Si kweli,anayo yafanya sasa JPM alikuwa anayajua tokea ajachaguliwa si akikuwapo humo humo.Na tayali alisha wajua wapi waadirifu.Kinacho mpa shida anataka sura mpya kabisa katika Uwaziri wa wizara mbalimbali maana wenye uzoefu wengi wao sio waadirifu.Ndio maana ana wapiga chini kwanza.Hivyo ndivyo mpangilio wake mbona waziri mkuu amempata mapema na kamchimbua tu sehemu ambayo hakuna aliye tegemea.
 
Back
Top Bottom