Nilienda na 50 kamili, iliyobaki mangi ikabidi anikopesheLeo nimepata mstuko gesi yangu nyumbani ilipoisha. Nikaenda dukani Oryx 15kg ni 55,000-. Tunakwenda wapi?
Eti tunaimbiwa siku zote tutunze misitu yetu! Misitu yetu my foot!
Pole sana, mshukuru mangiNilienda na 50 kamili, iliyobaki mangi ikabidi anikopeshe
Mikataba yenu na wachina vipi! Ulishawahi sikia hata bungeni wanaisemea? Tz tunakufa kama sabuniIle gas ya ntwara vipi kwan!
Nchi inaongozwa na wezi. Hao wanasiasa ndio wamiliki wa biashara kubwa ya mafuta, gas, mitandao ya simu nk. Wanatumia sheria kujinufaishaLeo nimepata mstuko gesi yangu nyumbani ilipoisha. Nikaenda dukani Oryx 15kg ni 55,000-. Tunakwenda wapi?
Eti tunaimbiwa siku zote tutunze misitu yetu! Misitu yetu my foot!
55,000 ni bei ya mtungi mpya au ni being ya kujaza?Leo nimepata mstuko gesi yangu nyumbani ilipoisha. Nikaenda dukani Oryx 15kg ni 55,000-. Tunakwenda wapi?
Eti tunaimbiwa siku zote tutunze misitu yetu! Misitu yetu my foot!
Gesi ile ya mtwara huwezkuweka kwnye mitungi kwaajir ya kupikia,Sijapata uelewa kwanini gas yetu nchini haitumiki, tunatumia gas Toka nje kwa matumizi ya kupikia.
Gas Toka nje control ya Bei ni ndogo kwa Serikali.
Tafuta pesa weweLeo nimepata mstuko gesi yangu nyumbani ilipoisha. Nikaenda dukani Oryx 15kg ni 55,000-. Tunakwenda wapi?
Eti tunaimbiwa siku zote tutunze misitu yetu! Misitu yetu my foot!