Kumbe gas ya kupikia 15kg ni 55,000/-? Misitu yetu bye bye!

Binadamu ni kiumbe cha ajabu sana ngoja survive instincts zianze ku-kick in ndio mtakuja kujua who is Homo sapiens ... hakuna taifa la wapole wala wakorofi ni muda tu na mazingira .
 
Mkuu tumefungia mitandao ya ngono sasa zile mb zako nunulia gas 😂😂😂😂😂 am kidding men!
 
Leo nimepata mstuko gesi yangu nyumbani ilipoisha. Nikaenda dukani Oryx 15kg ni 55,000-. Tunakwenda wapi?
Eti tunaimbiwa siku zote tutunze misitu yetu! Misitu yetu my foot!
Nilienda na 50 kamili, iliyobaki mangi ikabidi anikopeshe
 
Hivi China hawana gas fake tununue kutoka huko?
Itakuwa rahisi kuliko tunayoichimba wenyewe
 
Watanzania ni wasikivu na wavumilivu..kama tulivyosikia nankuvumilia ya muamala tuvumilie na Hilo pia
 
JK aliuza gas ya mtwara, hatuna control ya kitu chochote iwe gas ya ndani au ya nje. We're doomed as a nation!
 
Na bado wanaongeza tozo kwenye gesi, wanajua athari zake kwenye mazingira lakini wanajitia uzezeta.........
 
Leo nimepata mstuko gesi yangu nyumbani ilipoisha. Nikaenda dukani Oryx 15kg ni 55,000-. Tunakwenda wapi?
Eti tunaimbiwa siku zote tutunze misitu yetu! Misitu yetu my foot!
Nchi inaongozwa na wezi. Hao wanasiasa ndio wamiliki wa biashara kubwa ya mafuta, gas, mitandao ya simu nk. Wanatumia sheria kujinufaisha
 
Leo nimepata mstuko gesi yangu nyumbani ilipoisha. Nikaenda dukani Oryx 15kg ni 55,000-. Tunakwenda wapi?
Eti tunaimbiwa siku zote tutunze misitu yetu! Misitu yetu my foot!
55,000 ni bei ya mtungi mpya au ni being ya kujaza?
 
Uko wapi mzee gesi ni elfu 53 ofisini kwangu hapa Kigamboni tena Nakuletea bure ila free Delivery si kwa maeneo yote ya Kigamboni
 
Back
Top Bottom