Kumbe fedha za ushoga zimeshapenyezwa nchini? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kumbe fedha za ushoga zimeshapenyezwa nchini?

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by Mbopo, Nov 11, 2011.

 1. M

  Mbopo JF-Expert Member

  #1
  Nov 11, 2011
  Joined: Jan 29, 2008
  Messages: 2,532
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Pamoja na kwamba shauri hili hivi sasa ni mchakato wa kimahakama ambao haustahili kujadiliwa kwa uwazi, lakini habari zilizopenyezwa zinadai kwamba fedha zilizokutwa zimelundikana katika akaunti ya wakili maarufu wa mjini Arusha, ni sehemu ya misaada ambayo imekuwa ikimwagwa na mashoga wa nje ya nchi, hususani nchini Uingereza kwa ajili ya kuviruzuku vikundi vya mashoga, kwa lengo la kupanua mtandao wao kwa namna mbalimbali, moja wapo ikiwa ni kuendesha massive recruitment ya vijana wetu ili wajiunge na ushoga.

  Kikundi hicho cha Uingereza knoachojiita British Gay Anglicans (BGA), kinachoundwa na watu maarufu ambao ni mashoga (celebrities) wamekuwa wakiendesha mtandao huo katika nchi mbalimbali na kwa hapa nchini, wakili huyo alikuwa ni miongoni mwa wawakilishi wake. Habari ndiyo hiyo!
   
 2. T

  Tiote Senior Member

  #2
  Nov 11, 2011
  Joined: Mar 6, 2011
  Messages: 139
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Laana iwaangukie mabaradhuli hawa na Mungu apishilie mbali ushenzi huu kwa watoto wetu.
   
 3. BIG X

  BIG X JF-Expert Member

  #3
  Nov 11, 2011
  Joined: Nov 4, 2011
  Messages: 777
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Hili nalo litahitaji maandamano!!! Tutalinukisha.
   
 4. m

  mudavadi Member

  #4
  Nov 11, 2011
  Joined: Apr 19, 2011
  Messages: 53
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0

  Kwa kweli hili ni la hatari kuliko hata lile la kuhusishwa na Alshabaab kwa sababu huyu na hao waume zake wanaua kizazi chetu. Bora akae huko huko aliko.
   
 5. king'amuzi

  king'amuzi JF-Expert Member

  #5
  Nov 11, 2011
  Joined: Jan 10, 2011
  Messages: 613
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  hawayaoni matundu mengine mpaka wang'ang'anie hilo tuuu!
   
 6. w

  watenda Member

  #6
  Nov 11, 2011
  Joined: Mar 31, 2011
  Messages: 73
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Hawa ni watu walioamua kuudhalilisha utu washenzi wakubwa.
   
 7. K

  Kubingwa JF-Expert Member

  #7
  Nov 11, 2011
  Joined: Apr 23, 2010
  Messages: 502
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  MKuu mbona walisema ni fedha haramu?
   
 8. Straddler

  Straddler JF-Expert Member

  #8
  Nov 11, 2011
  Joined: Sep 9, 2009
  Messages: 719
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  Wanapenda harufu ya mavi hao............. Machizi..:embarassed2:
   
 9. n

  ndutu Member

  #9
  Nov 11, 2011
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 90
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Wale wazee wa kuandamana mbona hili wamlikalia kimya? Au ni kwa sababu Cameron na Conservative ni washirika na wafadhili wao? Wanatufanya tuamini kwamba wakikabidhiwa dola basi hoja ya Cameron itapitishwa na hapo ndo tutashuhudia ndoa za jinsia moja za kumwaga.
   
 10. n

  ndutu Member

  #10
  Nov 11, 2011
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 90
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kwani hata hivyo siyo haramu?
   
 11. M

  Mbopo JF-Expert Member

  #11
  Nov 11, 2011
  Joined: Jan 29, 2008
  Messages: 2,532
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Ushenzi mtupu. Kwani wao inzi au mende? Ni kujiendekeza tu!
   
 12. FaizaFoxy

  FaizaFoxy JF-Expert Member

  #12
  Nov 11, 2011
  Joined: Apr 13, 2011
  Messages: 58,107
  Likes Received: 22,159
  Trophy Points: 280
  Na huyo si ndio wakili wa Lema?
   
 13. Mkuu wa chuo

  Mkuu wa chuo JF-Expert Member

  #13
  Nov 11, 2011
  Joined: Feb 3, 2011
  Messages: 7,255
  Likes Received: 245
  Trophy Points: 160
  kwa hiyo!?
   
 14. M

  Mbopo JF-Expert Member

  #14
  Nov 11, 2011
  Joined: Jan 29, 2008
  Messages: 2,532
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Sasa unamaanisha nini na wote wamekutania huko gereza la Kisongo?
   
 15. b

  banyimwa Senior Member

  #15
  Nov 11, 2011
  Joined: Mar 1, 2011
  Messages: 117
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Huyu bwana amekubuhu katika ushoga maana amekuwa akikirimu watu toka alipokuwa shuleni na baadae chuoni na hata huko mtaani. Naona sasa ameamua kuifanya hiyo shughuli kuwa ni cross border business na sasa anataka kuwa na jeshi la mashoga. Huko gerezani ndiko kunafaa kuwa nyumbani kwake ili watu huku watulie na kusahaulishwa ubazazi huu.
   
 16. ndetichia

  ndetichia JF-Expert Member

  #16
  Nov 11, 2011
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 27,641
  Likes Received: 236
  Trophy Points: 160
  hivi kwa nini tunaomba msaada kwa hawa mafilauni ole wao watakao kubali laana hiyo iwe juu yao..
   
 17. P

  Percival JF-Expert Member

  #17
  Nov 11, 2011
  Joined: Mar 23, 2010
  Messages: 2,568
  Likes Received: 618
  Trophy Points: 280
  Wamagharibi bado wana fikra za kikoloni '' If you are not like us then you are against us'' au '' kama hupo sawa na sisi basi upo dhidhi yetu '' . Tatizo wanapitisha haya mawazo yao machafu na kuyafanya sheria katika umoja wa mataifa na viungo mbali mbali vya kimataifa. na wawakilishi wetu hasa kutoka nchi za ulimwengu wa tatu wapo pale wanasikiliza tu na kukubaliana nao. Sheria ikishapitishwa wamagharibi wanajua kuitumia kwa maslahi yao.

  Unaamini hata umoja wa mataifa una azimio linalotambua ushoga kama ni haki ya binaadamu ? na nch zitawekewa vikwazo kwa kupinga hili !!
   
 18. M

  Mrdash1 JF-Expert Member

  #18
  Nov 11, 2011
  Joined: Sep 21, 2010
  Messages: 1,379
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Wewe lazima tu utakuwa unapumuliwa usogoni ndo maana unafarijika na jinsi serkali ya ccm ilivyoshindwa kuja na msimamo thabiti juu ya hili jambo, hata waziri wako mkuu alipoulizwa bungeni alishindwa kutoa msimamo wa serkali na badala yake akatoa msimamo wake binafsi. Huna uhakika na msimamo wa CDM kuhusu hili jambo pale watakaposhika madaraka hivyo unalazimishia waseme ili ujue. Nakushauri uvute subira hadi pale serkali ya mashoga ccm itakapoondolewa na nguvu ya umma chini ya uongozi wa cdm.
   
 19. ngoshwe

  ngoshwe JF-Expert Member

  #19
  Nov 11, 2011
  Joined: Mar 31, 2009
  Messages: 4,075
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145

  Wewe hizi habari nzito umezitoa wapi? JF ni sehemu inayohitaji habari zenye uthibitisho mkuu!!

  Hata kama ingekuwa ni mgongano wa Grammar, Sina hakika kama kuna chama kinaitwa "British Gay Anglicans (BGA)" hapa dunani.. Tafadha;li kuwa makini!!
   
 20. Washawasha

  Washawasha JF-Expert Member

  #20
  Nov 11, 2011
  Joined: Aug 7, 2006
  Messages: 8,701
  Likes Received: 425
  Trophy Points: 180
  dah! Hawa kina Cameron imekuwaje tena? Nalog off
   
Loading...