Raia Fulani
JF-Expert Member
- Mar 12, 2009
- 11,866
- 4,252
- Thread starter
- #21
Unakoelekea ni mbali sana from the original ideas of the debate you started on post #1 , kinachoendelea kwa sasa nadhani ni hili mradi uandike vitu somewhat gibberish pertaining to ur initial inquiry.
Hivi maswali yasingezuka kuhusu Richmond huyo Mwakyembe ata angeteuliwa kwenye kamati ya kuchunguza? Kama una amini unaweza kujifunza kutoka kwa wanyama sishangai pia kuja na statement ambazo evidence zipo site as if the site can talk.
This is why people do investigation kama kazi aliyokuwa nayo Mwakyembe mantiki ni kufanya tathmini ya casual origins; haya wewe tuambie Lowassa alifungwa vipi mikono au mpaka leo anafungwa vipi mikono asijitete hadharani. Free advice kasome kuhusu justice in philosophy uelewe dhana ya 'equality of outcome' kitu alichokifanya mwakyembe na chances alizonazo Lowassa as opposed to confusing to it with 'equality of opportunity' in your explanations.
Swala sio kuwa mwanafalsafa or not tunaishi kwenye age of information sidhani kama kuna kitu ukitaka kukijua kitakushinda kiasi kwamba ya wewe kukaa mezani na kujibizana na Phd holder with confidence (minus laboratory sciences). Tatizo lako ni perception ya kudhani unaweza kuongelea philosophy through your 'sense impression' and your argument to have any meaning; you dont make sense at all.
Ndio maana hata pale unaopelezwa dhana ya moral duty through his past experience ya mtu, swala la ethical dilemma and choosing based on utility bado tu unaendelea ujaona; kikubwa kwako hoja zake azijakufurahisha wewe na itimisho lake sio lako tatizo ni kwamba bado auna hoja zenye kupinga sababu zake zaidi ya kujaribu kuleta mifano ambayo aina uhusiano wowote.
Au inaweza kuwa sababu ya kujitokeza kwenye media ni part of challenging the veil of ignorance which has permeated the public kuhusu lowassa kwa hivyo anachofanya anawakumbusha tu as moral duty kuhusu mtu mwenyewe.
This is all you know' sophistry arguments.
Hivi umeona wapi mwanasheria wa serikari ushahidi wake unapopwaya anamlaumu mshitakiwa kwa kukosa kufanya kitu fulani ili argument yake iwe rahisi mahakani. Uwezi ku-accuse watu halafu utegemee wa kulete ushahidi ni jukumu lako wewe.
haki ya mungu you are amazing
Tukuulize wewe labda unaejua zaidi; mimi nimesikiliza hoja za Dr.Slaa nimezielewa sasa wewe mwenzetu kama unadhani kuna ya zaidi kwanini usimwambie huyo Lowassa aje ajitete surely na yeye atakuwa na copy ya hiyo ripoti.
Bora uache kama ulikuwa na mpango wa kutunga uongo hawa-jamaa wanaweza kuanza na wewe hivi hivi.
unapojibu nusu nusu unajikosesha mtiririko. kitendo cha kugawa hoja yangu ni sawa na kushika mstari mmoja wa biblia kisha kuamini umefahamu biblia yote. unajichanganya maana sijatoka nje ya mada. tukubaliane kutokukubaliana ili kila mmoja adumu na imani yake. wewe ndio unaleta ushindani kwa kupractise nadharia zako.
Hoja zangu ni hizi. Slaa hakuwa na ushahidi wa kutosha. slaa alikuwa na hasira. alichozungumza slaa angeweza kuzungumza mtu yeyote. sio kwamba alikuwa sahihi. falsafa ni maisha haya ya kawaida tu. nyie ndio mnaofanya mtindo wa kuyapa lugha tofauti maisha. na habari mpya ni kuwa slaa akishinikizwa hadi kufikia kusnzisha tena hoja ya richmond. so when nothing is not held constant, objective discudsion fills the vaccuum. Tatizo lako ni kung'ang'ania hoja moja na kuishi katika nadharia