Kumbe falsafa ni rahisi hivi?

Kumbe falsafa ni rahisi hivi?

Mtu mzuri ndani ya mfumo mbovu ana uwezo wa kuurekebisha mfumo na hatimaye kuwa mzuri zaidi. lakini kuwa na mtu mbovu ndani ya mfumo unaodhaniwa kuwa ni mzuri ni sawa na kuwa na timu nzuri lakini golikipa wake ni kipofu.

hatumchagui huyo mtu wenu, kura zetu zote ni kwa Magufuli

Mtu mzuri (golikipa anayeona) kwenye timu mbovu ya vipofu ikicheza na timu nzuri ya wanao ona yenye kipa mbovu kipofu ipi itakula mvu ya magoli? Mfano wako ni mzuri sana. Hivyo UMEKIRI ni heli kuwa na timu nzuri yenye kipa mbovu kuliko kuwa na timu mbovu yenye kipa mzuri.

Maana itakuwa na mpira wa gombania goli, kipa atatupiwa mashuti mpaka akimbie golini kabla ya dakika 45 za mwanzo!
 
umemjibu vyema maana sikupata hata muda wa kutafakari alichoandika. kumbe kajikoroga hivyo?
 
Ujaitendea haki kauli ya Dr.Slaa wala wewe mwenyewe, Dr.Slaa alitoa ufafanuzi mrefu na sababu zake (unaweza kubaliana naye au usikubaliane) ni kwenye kuitimisha tu ndio alipotumia falsafa ingawa katika maelezo yake vyote viwili ni vibovu kama kuchagua kibovu kimoja basi kile kinacholeta more utility than the other kwenye jamii.

Sidhani kama unaweza kumpinga bila ya maelezo ya kile alichokisema kwakutumia mifano ya chooni ya na chumbani hakuna logic of his argument at all hapo; unatakiwa ujibu hoja zake za awali kwanza na ubadilishe in terms of utility pia kusema kwanini hicho kobovu kingine ndio bora zaidi (that is the philosophical reasoning).

Sio rahisi kama unavyodhani wewe.
Ukiweka mind yako free bila biasness utaona logic ya mtoa mada hapa!
Labda nikuulize jambo...wajua kwanini biblia ni moja lakini madhehebu ya kikristo yako mengi na kila mmoja yupo convinced kuwa ndo yuko sahihi?!?...kuna wakati UKWELI unakuwa na UPANDE
Tena ujue sio kila mfano uko applicable kila pahala....in this case mtoa mada yupo sahihi zaidi kuliko Dr. Slaa kuhusu ishu ya lesser evil....Hebu jikumbushe Mkapa alikuwa na kashfa gani alipokuwa anagombea urais 1995?...alipigiwa kampeni na Mwl Nyerere akiamini katika uwezo wake na uadilifu wake..Nini kilikuja kutokea?
(Tunapaswa tufike mahali tuamini katika strong institutions and not strong individuals learning from what happened kwa Mkapa)
 
Ameeleza kwa kusema alipotokea mgombea wenu, isipokuwa yeye ndio alikuwa kinara wa dili nyingi ata akiwa upande wa pili making him even more untrustworthy.
Unajaribu kufikiria kwa niaba yake au unadeduce from what he said from the very beginning?(ref ..mkutano wake na waandishi habari)
Dr.Slaa was ready kumpokea EL kama angemeet criteria alizoweka yeye...(normal thinking inaonesha kuwa kwa ku'engage kwa talks za kutaka kumleta CHADEMA unaamini kuwa hilo linawezekana,otherwise,kama uko sure 100% that huyu mtu hafai why wasting your time..angekataa tangu mwanzo)
Hata baada ya kutotimiza sharti la kwanza(kutangaza kujitoa CCM kwanza) na la pili (kuitisha mkutano na waandishi habari KUJISAFISHA na kutangaza chama anachojiunga nacho)...Dr Slaa aliendelea bado na nia yake ya kumuona EL akihamia CHADEMA ila tu atimize sharti la tatu (Dr. Slaa apewe majina 50 ya wabunge, 22 ya wenyeviti wa mikoa wa ccm na 88 ya wenyeviti wa wilaya wa ccm ambao EL angehamia nao CHADEMA)!...what can you say about this?....Hayo mengine yoooote aliyosema sijui ya ki'philosophy and whatever yana hold chochote?
 
Nashukuru 4change kwa mchango wako. Eric hataki kuutazama mfumo/taasisi bali mtu mmoja mmoja. Ndivyo falsafa yake inavyomtuma
 
Last edited by a moderator:
Ukiweka mind yako free bila biasness utaona logic ya mtoa mada hapa!
Labda nikuulize jambo...wajua kwanini biblia ni moja lakini madhehebu ya kikristo yako mengi na kila mmoja yupo convinced kuwa ndo yuko sahihi?!?...kuna wakati UKWELI unakuwa na UPANDE.
Nadhani aliyeanzisha huu mjadala ndio mtu mwenye bias sio mimi; kuhusu madhehebu ya dini kuona namna ya kumfikia mungu kwa njia zao aiondoi their single 'underlying belief' inayowafanya kuwa wakristo in the first place ambapo god stands for 'universal salvation' kwa hivyo madhehebu ni 'epistemic distances' za mungu; msingi ni ule ule 'universal salvation'. Sasa jinsi gani wanatofautiana I am limited to theodicies perspectives habari za mungu kwanza sijui zinaingia vipi hapa.

Kuna tofauti kubwa sana hapa unachojaribu kulinganisha na hoja aliyoitoa mleta mada.

Tena ujue sio kila mfano uko applicable kila pahala....in this case mtoa mada yupo sahihi zaidi kuliko Dr. Slaa kuhusu ishu ya lesser evil....Hebu jikumbushe Mkapa alikuwa na kashfa gani alipokuwa anagombea urais 1995?...alipigiwa kampeni na Mwl Nyerere akiamini katika uwezo wake na uadilifu wake..Nini kilikujakutokea
Na wewe unarudia makosa yale yale aliyokuwa anayafanyanya mwenzio kwenye kutofautisha vitu viwili tofauti uwezi kutumia maamuzi ambayo yalikuwa based on solipsist za wakati huo za mwalimu kumnadi Mkapa kwa makosa yake ya baadae, unless labda unamini mwalimu alikuwa na godly power za kuweza kutabiri na mbele itakuwaje. Alichoamini na kukitetea wakati huo ni kutokana na uelewa pia wa nyakati hizo.

(Tunapaswa tufike mahali tuamini katika strong institutions and not strong individuals learning from what happened kwa Mkapa)
This was not the argument presented na mleta mada kwenye kukataa hitimisho la Dr.Slaa na choices alizoitimisha mpaka kuchagua the lesser eveil, it is an additional point to counter argue. Hakuna logical consistency na kilocho ongelewa sophistry implied in time lag-argument kwa hivyo aihusiani na sababu za maamuzi ya Dr.Slaa on why Lowassa is the bad choice.
 
Unajaribu kufikiria kwa niaba yake au unadeduce from what he said from the very beginning?(ref ..mkutano wake na waandishi habari)
May be you should enlighten us how else would we find the premise of his choice and justify it fairly bila ya deduction of his argument; si ndio maana mmekuwa mnatoka nje ya swali la msingi kwanini kasema Lowassa is not the right choice kwa sababu kikubwa ampimi sababu ya maamuzi yake; bali msukumo ni 'the form' with which you believe should have presented decision likeable to you hapo ndio tatizo lilipo.

Dr.Slaa was ready kumpokea EL kama angemeet criteria alizoweka yeye...(normal thinking inaonesha kuwa kwa ku'engage kwa talks za kutaka kumleta CHADEMA unaamini kuwa hilo linawezekana,otherwise,kama uko sure 100% that huyu mtu hafai why wasting your time..angekataa tangu mwanzo)
Nimelielezea hili kama causality effects; hivi unadhani watu wanaoamini mungu kila siku wako majumba ya ibada yakija mafuriko watabaki kwenye majumba ya ibada au watakimbilia milimani ambambo wanajua maji yanaweza yasiwafikie. Kwa hivyo alichofanya awali si tija sana ni maelezo yake na sababu zake baada ya tukio lilimfanya aonge ndio tija hapa.

Hata baada ya kutotimiza sharti la kwanza(kutangaza kujitoa CCM kwanza) na la pili (kuitisha mkutano na waandishi habari KUJISAFISHA na kutangaza chama anachojiunga nacho)...Dr Slaa aliendelea bado na nia yake ya kumuona EL akihamia CHADEMA ila tu atimize sharti la tatu (Dr. Slaa apewe majina 50 ya wabunge, 22 ya wenyeviti wa mikoa wa ccm na 88 ya wenyeviti wa wilaya wa ccm ambao EL angehamia nao CHADEMA)!...what can you say about this?
Logical primitive si lazima itumike kwenye maamuzi yake yote inaweza kuwa partly to ya msukumo, vinginevyo ni kutaka kuingia liberty za Dr.Slaa kwenye maamuzi yake na choices zake za maisha. Kama alimwita kwa sababu ya mikakati yake na mambo yakawa tofauti in the end he is entitles to voice his opinion na kuzipa justification kama alivyo fanya.

Ndio maana pia si watu wengi wanalalamika na maamuzi ya CDM kuamua kumtenda Dr.Slaa kwa kumnyan'ganya nafasi walio kwisha mteuwa kuwa mwakilishi wao therefore the cause could be looked from that angle too, na tukaanza kuzungumzia habari za katiba ya CDM kama ilikuwa sahihi. Muhimu hapa ni hoja na justification za watu sio kuwalazimishia vitu ambapo kwa mujibu wa DrSlaa; bora CCM kushinda kuliko uraisi wa Lowassa.
 
Nadhani aliyeanzisha huu mjadala ndio mtu mwenye bias sio mimi; kuhusu madhehebu ya dini kuona namna ya kumfikia mungu kwa njia zao aiondoi their single 'underlying belief' inayowafanya kuwa wakristo in the first place ambapo god stands for 'universal salvation' kwa hivyo madhehebu ni 'epistemic distances' za mungu; msingi ni ule ule 'universal salvation'. Sasa jinsi gani wanatofautiana I am limited to theodicies perspectives habari za mungu kwanza sijui zinaingia vipi hapa.

Point yangu kubwa hapa ilikuwa UKWELI una upande!...Dr. Slaa anazungumzia UKWELI kwa upande wake(to justify his arguments/..japo hata ukweli wake kwa upande huohuo wa kwake una walakini) ambao sio necessarily ukweli kwa upande wa walioendelea na EL mpaka leo.

Na wewe unarudia makosa yale yale aliyokuwa anayafanyanya mwenzio kwenye kutofautisha vitu viwili tofauti uwezi kutumia maamuzi ambayo yalikuwa based on solipsist za wakati huo za mwalimu kumnadi Mkapa kwa makosa yake ya baadae, unless labda unamini mwalimu alikuwa na godly power za kuweza kutabiri na mbele itakuwaje. Alichoamini na kukitetea wakati huo ni kutokana na uelewa pia wa nyakati hizo.

Hapa hukunielewa..(na hii ndio niliyokuja ku'conclude nayo mwishoni...that we should belive in institutions than individuals.....Kwamba yaliyomfikisha Mkapa mchapakazi na muadilifu aliyeaminiwa na kupigiwa kampeni na Nyerere hatuwezi kujiaminisha leo kwamba hayawezi kumkuta Magufuli leo!....hii lesser evil ya Dr Slaa hapa ameiweka kwa mtu sio kwa Chama na mifumo ambayo chama kimeijenga tangu uhuru....huyu mtu kawekwa kwenye hiyo nafasi na watu haohao.....huyu mtu atawezaje kuwabadilisha waliomweka hapo?anaowatukuza kwamba ndo waliomlea na kumfikisha hapo alipo?atawezaje kubadilisha mfumo uliowekwa na chama chake kwa muda wote huo?...kama Mkapa alishindwa tuna guarantee gani kwamba huyu katika chama kilekile na watu walewale ataweza?

This was not the argument presented na mleta mada kwenye kukataa hitimisho la Dr.Slaa na choices alizoitimisha mpaka kuchagua the lesser eveil, it is an additional point to counter argue. Hakuna logical consistency na kilocho ongelewa sophistry implied in time lag-argument kwa hivyo aihusiani na sababu za maamuzi ya Dr.Slaa on why Lowassa is the bad choice.

By saying Lowassa is a bad choice ni kusema indirectly kwamba Magufuli is a better choice!...we dont have to forget that we dont have private candidates...Magufuli ni CCM na Lowassa ni CHADEMA/UKAWA.
 
May be you should enlighten us how else would we find the premise of his choice and justify it fairly bila ya deduction of his argument; si ndio maana mmekuwa mnatoka nje ya swali la msingi kwanini kasema Lowassa is not the right choice kwa sababu kikubwa ampimi sababu ya maamuzi yake; bali msukumo ni 'the form' with which you believe should have presented decision likeable to you hapo ndio tatizo lilipo.

Hapa hujanielewa

Nimelielezea hili kama causality effects; hivi unadhani watu wanaoamini mungu kila siku wako majumba ya ibada yakija mafuriko watabaki kwenye majumba ya ibada au watakimbilia milimani ambambo wanajua maji yanaweza yasiwafikie. Kwa hivyo alichofanya awali si tija sana ni maelezo yake na sababu zake baada ya tukio lilimfanya aonge ndio tija hapa
.
Tukio lililomfanya aongee ni nini?...kufukuzwa nyumbani na mchumba wake kwa sababu ya kuukosa u'first lady?....kuhongwa na CCM?

Logical primitive si lazima itumike kwenye maamuzi yake yote inaweza kuwa partly to ya msukumo, vinginevyo ni kutaka kuingia liberty za Dr.Slaa kwenye maamuzi yake na choices zake za maisha. Kama alimwita kwa sababu ya mikakati yake na mambo yakawa tofauti in the end he is entitles to voice his opinion na kuzipa justification kama alivyo fanya.

Mikakati yake ilikuwa ipi?..mambo gani yalikuwa tofauti yaliyojustify alichokiongea?...kwa hiyo wewe unaona ni sahii kwa yeye 'kumchafua' Lowassa na kumuona hafai wakati huu because hakupewa hayo majina ya wabunge na viongozi wa CCM ambao wangekuja naye CHADEMA?

Ndio maana pia si watu wengi wanalalamika na maamuzi ya CDM kuamua kumtenda Dr.Slaa kwa kumnyan'ganya nafasi walio kwisha mteuwa kuwa mwakilishi wao therefore the cause could be looked from that angle too, na tukaanza kuzungumzia habari za katiba ya CDM kama ilikuwa sahihi. Muhimu hapa ni hoja na justification za watu sio kuwalazimishia vitu ambapo kwa mujibu wa DrSlaa; bora CCM kushinda kuliko uraisi wa Lowassa.
Pointless
 
Point yangu kubwa hapa ilikuwa UKWELI una upande!...Dr. Slaa anazungumzia UKWELI kwa upande wake(to justify his arguments/..japo hata ukweli wake kwa upande huohuo wa kwake una walakini) ambao sio necessarily ukweli kwa upande wa walioendelea na EL mpaka leo.
Hilo ni itimisho lako wewe ambalo aliko sambamba na primacy of reasons za Dr.Slaa kutokana na mtiririko wa matukio hadi kuamua kuachana na siasa za ulaghai; alikadhalika ukweli wako wewe auna basis sanasana ni hitmisho linalo kupendeza wewe. Je kweli Dr.Slaa alimtuhumu Lowassa before; ndiyo. Je kweli Dr.Slaa aliteuliwa ndio; Je Kweli CDM walimtoa Dr.Slaa kwa sababu ya fisadi na kuvunja katiba yao ndio. Kwa hivyo there is so much of evidence ya kusema hoja ya Dr inahulali kutokana na ushahidi wake.
Hapa hukunielewa..(na hii ndio niliyokuja ku'conclude nayo mwishoni...that we should belive in institutions than individuals.....Kwamba yaliyomfikisha Mkapa mchapakazi na muadilifu aliyeaminiwa na kupigiwa kampeni na Nyerere hatuwezi kujiaminisha leo kwamba hayawezi kumkuta Magufuli leo!....hii lesser evil ya Dr Slaa hapa ameiweka kwa mtu sio kwa Chama na mifumo ambayo chama kimeijenga tangu uhuru....huyu mtu kawekwa kwenye hiyo nafasi na watu haohao.....huyu mtu atawezaje kuwabadilisha waliomweka hapo?anaowatukuza kwamba ndo waliomlea na kumfikisha hapo alipo?atawezaje kubadilisha mfumo uliowekwa na chama chake kwa muda wote huo?...kama Mkapa alishindwa tuna guarantee gani kwamba huyu katika chama kilekile na watu walewale ataweza?
How do I know Man City, Man Utd, Arsenal, Madrid, Parist St Germany, Juventus, Bayern Munich, Barcelona will be contenders on next year champion league again. Naangalia kutokana na performances zao za awali, walivyo sajili tena, kocha wao na kila kitu kinachoipa timu ya mpira nguvu. Kwa hivyo magufuli kutokoana na perfomances zake, kutokuchoka kwake, afya yake, misimamo yake ya leo naweza mtabiria atakuwa kiongozi wa aina gani. Alikdhalika je wewe unaweza mtabiria Lowassa kutokana na past yake atakuwa kiongozi mwadilifu zingatia ukisha ukwaa uraisi na madaraka yake ya kikatiba? kuwa mkweli kwanza.

By saying Lowassa is a bad choice ni kusema indirectly kwamba Magufuli is a better choice!...we dont have to forget that we dont have private candidates...Magufuli ni CCM na Lowassa ni CHADEMA/UKAWA.
Ndipo hapo swala zima linapogeuka la candidate can you see why even Dr.Slaa akaitimisha mwingine ni lesser of the evil kuliko Lowassa.
 
Back
Top Bottom